Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

Source nyingingine very powerful ni Presentation yenye jina, "The secret behind secret societies," imeandaliwa na Prof. Walter J. Veith. inapatikana www.amaizingdiscoveries.org

Utafahamu ukweli mkuubwa na agenda ya msingi ambayo huijui ya his secret socities
leta link usiogope kueleza ukweli prof walter j veith ndie nguli wa kuexpose hawa wachawi kwa research nyingi alizofanya
 
Katoliki na uislamu ni sehemu ya hawa jamaa??.
Freemanson. Kwa Hapa bongo wako wainjilisti maarufu,
mitume maarufu,
manabii maarufu,
wachungaji, waimba kwaya maarufu nchini, hadi wanafunzi secondary wa form two , wasanii wa bongo fleva.

Inasemekana katika kumu-initiate member mpya, wanamchoma na chuma cha moto kwenye mguu na kumwachia kovu.( kama ile style ya kumbramd ng'ombe kwaajili ya identification.)

Inasemekana ibada zao. Zinahusisha
Kukaa uchi kwenye majumba yao,

Kutukana(kukufuru) kwa njia saba jina la Mungu,

Kula damu za watu,

Kutoa kafara ndugu zao wa damu.

Kufanya ngono kwenye ibada zao.

Pia kuna kitengo maalumu cha kuulea ushoga. Ushoga ni pando la shetani. Dont doubt.
( ndio maana ulaya kuna makanisa mengi yenye kuuafiki ushoga utakuta yale makanisa yameanzishwa na hawa watu)

Na inasemekana ijumaa ndio siku yao ya kutoa kafara.

Kimsingi ukiona mtu anaimba kwaya lakini hayaishi yale anayoyaimba, huyo anAweza kua memba. Umaarufu wake usikuzuzue..usiwe na sympathy na uovu.

Inasemekana viongozi wa kidini walio member.

Mmoja yupo ubungo, mwenge na wengine wako mikocheni A. From kenya.

C&P.
 
Inaonesha wazi kabsa kuwa hufahamu kwamba hao conspiracy theorist ndio waliokufahamisha kwamba "there's GOD" na wakakupa materials za kimaandishi uwe unapitia pitia kidgo ili umfaham zaidi GOD. ukibisha ntashangaa sana.[/QUOTE
Wee jamaa wwe....daah ukiwa na nyundo kupigilia msumari kazi rahisi sana
 
Illuminat ni hatua ya juu kabisa ya freemasons
Sio freemason wote ni illuminant lakini illuminant wengi ni Freemason, freemason unajiunga lakini kwa hiyari, illuminant mara nyingi mtu anazaliwa kutoka kwenye familia za kiiluminant , or chosen from any other family in very young age na kuwa trained, mpaka akijakuwa na akili anakuwa illuminant mtiifu sana.
 
ILUMINATI/FREEMASON hawakumsumbua Nyerere kwa sababu hakugusa madini wala mali zingine zilizo chini ya ardhi. Waliofuata ndiyo walikuwa wanaangaliwa nani angewafaa waanze mambo yao. Fahamu ya kuwa utajiri wa hii nchi wanaufahamu na wanajua uko wapi na kwa kiwango gani. Kinachoawasumbua sasa ni hawa Warusi na Wachina ambao wamejitokeza wazi wazi kuwapinga . Ona Putin alivyoonyesha utemi hapo Syria. Sasa wanataka mazungumzo. Kiboko ya hawa ni Russia na China wanawapinga na sera zao za udhalimu kwa nchi za dunia ya tatu. Kwa uelewa wangu. Naomba kusahihishwa.
 
Kuna vitu hujui kuhusu freemanson
Hawa jamaa hawana Utaifa.

Wako Russia wako china wako USA wako Ulaya wako arabuni, wako afrika wako Tanzania.
Hili ni tawi la shetani sio tawi la mataifa.
Ni kweli madini ni sehemu.ya target zao. Lakini hii sio chanzo pekee cha pesa zao.
Hawa jamaa wana hoteli, migahawa, maduka ya nguo, viwanda, kampuni hadi za miziki, media kampani nk. Ambapo zina wahakikishia waendelee kua imara kwenye finance system.
Kwa mfano akitoka Dar akaenda Arusha analala kwenye Hotel zao.wanazoziita logde yaani hizo hotel zina serve kama hekalu nz Hotel, lengo ni ili mzunguko wa pesa uimareke.kwa wale.member
 
Illuminat ni hatua ya juu kabisa ya freemasons
Freemason ndo Base ya jamii zingine za siri yani ilianza wajenzi huru(masonic) halafu Baada ya kutanuka pakatokea jamii zingine zilikuwa na jamii za siri kwa vile tu waanzilishi hawakuwa na powerfull ya kujianika hadharani kwa sasa ni ndani ya masonic pametokea makundi mengine huru kabisa kama Illuminant,Skull and bones na Rosicrucian hakuna ushetani hapo hao jamaa ni free thinker hawako ndani ya maboxer kama wafia dini the good new ili uwe member ni lazima uamini ktk Mungu The Great architecture of the universe Tafsiri ya Mungu huku na kwenu ktk dini zenu ni differ hatuamini kuwa mungu ni mtu fulani kama mnavoaminishwa lakini pia jamii hzi ndo zimebeba ulimwengu bora na imara zaidi kwa kila nyanja tunahakikisha hatukosi watu makini,G.bush ni bonesmen hata raisi wetu wa awamu ya tatu ni member ktk jamii mojawapo
 
Freemasons na Illuminat ni vitu viwili tofauti,Illuminat ilianzia 1776 Bavaria Germany, Freemason imenzia London Uingereza mwaka 1717.Ila ideology zao zina fanana,japo kuwa wanafichaficha na kufunika..Mungu wao ambae wanapenda kumwita higher power ni shetani. Baadhi ya top dogs kati ya hizo organization wamekwisha kuonana na shetani live kwenda kuchukua order juu ya mambo ya kufanya.Kwa mfano familia ya Rothchilds ambao ndo familia tajiri kuliko zote duniani(wanamiliki mabenki makubwa yote duniani na mashirika ya fedha kama world bank na IMF wanachukua hela kutoka kwao),wao nyumbani kwao katika dining table,huwa kuna kiti kinaachwa wazi siku zote na hakikaliwi na mtu,maalumu kwaajili ya 'master Lucifer himself'..
 
Ufafanuzi safi ni wazi watu hawajui kuwa illuminant na freeemasonic ni jamii mbili tofauti japo nia moja. unaweza kuchambua zaidi Shetani ni mtu yupi? je umemsoma lucifer na kujua ni mtu wa aina gani na kwanini anawekwa katika kundi la shetani.?
 
Asante,Lucifer ndo shetani(Satan).Lakini sasa...Lucifer ni jina ambalo shetani alipewa na Mungu na alikuwa analitumia kuitwa na mungu na malaika wenzake kina Gabriel na Michael kabla hajaasi.Maana ya Lucifer maana yake ni anayeng'aa/mleta mwanga (Light bearer/bringer of dawn).Wakati Lucifer ameumbwa na mungu akiwa kama mmoja wa malaika wakuu watatu,alikuwa ni mzuri sana anayeng'aa,na tena ndo malaika aliekuwa na maarifa mengi na mjuvi wa mambo.Na tena yeye ndo alikuwa malaika mkuu zaidi ya wenzake wawili (Gabriel na Michael).Na ndo malaika aliekuwa karibu sana Mungu na anaejua siri nyingi..Hiyo ndo iliyosababisha akaanzisha kiburi na kuasi,kwasababu alitaka kumpindua Mungu katika ufalme na kusababisha vita kali sana iliyotokea mbinguni na shetani na wafuasi wake kupigwa na kutupwa chini.(Habari hizi zimeandikwa pia kwenye bible,kama sikosei marko au isaya).Sasa baada ya kuasi ndo akaondolewa jina hilo lenye kumsifu (Lucifer) na kupewa la Satan/shetani (mdanganyifu)
 
Mkuu jamii za siri lucifer anatambulika kama mwalimu mzuri huyu kiumbe anajua mengi naalijaribu kumfundisha mwanadamu siri nyingi za ulimwengu, makundi ya dini yaliamua kumchafua na kumuweka ktk mabaya yani satan
 
Ni kweli aliasi..na kitendo cha mungu kumuumba binadamu kwa mfano wake na kumpenda Zaidi ilisababisha chuki ya shetani kwa binadamu ilikumharibia.Kwa hiyo hata kitendo cha shetani kumhadaa Adam na Hawa wale matunda kutoka katika mti wa kujua mema na mabaya ilikuwa ni mpango wake wafukuzwe katika bustani ya Eden waanze kutangatanga..kwahiyo sio mzuri kwa binadamu,japo illuminat na freemason wanataka kuwaaminisha watu hivyo
 
Nikitulia ntaleta Uzi juu ya Lucifer tumjadili poa sitasahau kukutag mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom