MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Jamani ndiyo kubadilika kwa fasihi huko..hamkusoma shuleni fasihi simulizi hubadilika jamani>????
nimecheka hadi machozi we bujibuji umepinda.Kiparata....... Asili ya neno hili inaonekana baba alikuwa amebanwa na tumbo la kuhara, na baba huyu alimwambia mtoto wake kuwa sisi wakubwa hatuarishagi.
Basi siku ya siku mtoto akasikia prata tata kiparata kutoka chooni, mtoto akamuuliza baba yake, baba unafanya nini huko, mbona nasikia kitu kinalia kiparata? Baba akajibu mwanangu nimepoteza kiparata changu ndio nakiita nione kama kitaitika, mtoto akauliza kiparata ndio nini? Dingi akajibu kadi ya mpiga kura
<br />Ni watu wangapi wanatumia Western Union hadi iwe ni kwamba huenda kulikuwa na kitu?
<br />Kwanini umechelewa kulisema hili, ulitakiwa kutoa taarifa mapema kabla ya uchaguzi wa Mwaka jana ili hatua stahiki zijukuliwe. Any way yawezekana ilikuwa ni njama ya kuchakachua matokeo.