Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Kumbe mwanadamu achana naye kwani akiamua jambo lake na kulikamia lawezekana tu..................huyu binti alibatizwa jina la 'hailali" kwa sababu kwa jinsi ambavyo alikuwa akiipigiza mtaani ile mali yake......................lakini baada ya kujua ya kuwa "wahudumiwa" wamemfunga bao la kisigino kwa shukrani za mateke ya punda......................basi naye akanuia ya kuwa ile kitu yake nayo imenuna kwa kashfa hizo....................
kwa hiyo binti akaamua kuachana na "umama huruma"......................na sasa kabandika kufuli la "viro"..........."wahudumiwa" baada ya kuona siku hizi mambo yamebadilika...........lol wamekuja juu na kuanza kumkashifu kuwa kufuli hilo la "viro" wanamkakati wa kulibomoa..........................wakidai hiyo siyo kufuli ya "solex" kwa hiyo watamrudisha kwenye laini...............lakini yeye kadinda mtoto wa watu kuwa sasa ina ahueni kwani inapata usingizi wa pono....................
Swali unafikiri huyu binti ana umri gani?