Ilikuwa hailali lakini sasa ahueni yapata usingizi wa pono. lol

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,427
911,172
Kumbe mwanadamu achana naye kwani akiamua jambo lake na kulikamia lawezekana tu..................huyu binti alibatizwa jina la 'hailali" kwa sababu kwa jinsi ambavyo alikuwa akiipigiza mtaani ile mali yake......................lakini baada ya kujua ya kuwa "wahudumiwa" wamemfunga bao la kisigino kwa shukrani za mateke ya punda......................basi naye akanuia ya kuwa ile kitu yake nayo imenuna kwa kashfa hizo....................

kwa hiyo binti akaamua kuachana na "umama huruma"......................na sasa kabandika kufuli la "viro"..........."wahudumiwa" baada ya kuona siku hizi mambo yamebadilika...........lol wamekuja juu na kuanza kumkashifu kuwa kufuli hilo la "viro" wanamkakati wa kulibomoa..........................wakidai hiyo siyo kufuli ya "solex" kwa hiyo watamrudisha kwenye laini...............lakini yeye kadinda mtoto wa watu kuwa sasa ina ahueni kwani inapata usingizi wa pono....................

Swali unafikiri huyu binti ana umri gani?
 
kabla sijakujibu swali lako nikuulize swali wewe unazani nini hasa kilimpelekea yeye kuingia kwenye ngono????
 
kabla sijakujibu swali lako nikuulize swali wewe unazani nini hasa kilimpelekea yeye kuingia kwenye ngono????

maswali juu ya mswali kweli yawezekana..........................buni umri wake na utoe sababu khalafu utajibiwa bila ya zengwe hata chembe
 
Anamiaka ile ya kti ya 18-20,sababu alionjeshwa mara ya kwanza akapenda na sasa kaizoea hadi appetite imjie

mbona sasa kawa mbogo hataki kusikia...............yale majambozi...........
 
Kati ya miaka 17-20, sbb ya kufanya hivyo kwanza hicho ni kipindi cha foolish age na bado alikuwa hajakomaa kiakili na alikua hajajitambua na sbb ya kuacha kwa sasa ameishajitambua na kugundua kuwa alichokuwa anafanya hakikuwa sahihi na sasa kashapata akili ya kuchanganua kujua kibaya na chema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom