Ilemela: Nguvu ya Umma yashinda Ubabe wa Jeshi la Polisi

2015 tutahakikisha hakuna gamba hata 1 wa dawa anashinda hapa jijini mwanza! Matata yeye siku zake zinahesabika,siku yoyote mtamsikia!
 
Raia wana haki ya kusikilizwa kwa mujibu wa katiba yetu, polisi wametimza wajibu wao kwa mujibu wa sheria kuwasikiliza wafuasi wa Chadema, cha kushanganza mleta mada anakuja na siasa zake za makengeza eti nguvu ya umma imeshinda polisi wangetumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa Chadema mgeanza kulalamika kuwa polisi wametumia nguvu nyingi kuwatawanya raia.
 
Tatizo lenu nyie migambo mnapenda kutumia nguvu na jazba kwenye ishu zinazohitaji taratibu, kanuni na sheria kufuatwa na ndio sababu Zito anawatesa kila uchwao coz anawajua mlivo mabwe.ge mtozeni....Sasa hizo fujo zimemng'oa huyo meya?
 
hivi hao makamanda huko Ilemela hawana kazi za kufanya? Hakika nimeamini kweli wafuasi wengi wa chadema ni misukule

Tofauti yako na yao ni nini.....wewe upo kwenye keyboard wao wako live........ Afterall ur right that hawana cha kufanya as ccm mumeshindwa to be innovative in fusing them into working system......watakao watoa madarakani ni hawa hawa unaowaona leo hawana cha kufanya.....
 
Huwa najisikia amani sana watu wa Mwanza wanaposimama na chama chao, kama wanavyofanya Watanzania wa maeneo mengine nchi nzima. Very proud.

Gharama ya kumbeba huyo bwana iko mikononi mwa CCM. Watailipa kwa kilio kikubwa cha kusaga meno watakapoona Kanda ya Ziwa yote inaungana dhidi ya udhalimu huu ulio wazi na mwingine wa namna hii.

Kwani sikio la Kufa linasikia dawa? Kwani Mabina alivuna matunda gani?
 
Raia wana haki ya kusikilizwa kwa mujibu wa katiba yetu, polisi wametimza wajibu wao kwa mujibu wa sheria kuwasikiliza wafuasi wa Chadema, cha kushanganza mleta mada anakuja na siasa zake za makengeza eti nguvu ya umma imeshinda polisi wangetumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa Chadema mgeanza kulalamika kuwa polisi wametumia nguvu nyingi kuwatawanya raia.

Kikwete janga kubwa sana kwa taifa
 
Inawezekana kwa utajiri tulio nao ukitumiwa vizuri wakalipwa kwani nchi za wenzetu Ulaya mbona wanalipwa. Ni uongozi bora na utumiaji vizuri wa utajiri tulio nao kila kitu kinawezekana

Nadhani wameahidiwa Siku CDM ikiingia ikulu watakuwa wanalipwa mishahara bila kazi
 
Raia wana haki ya kusikilizwa kwa mujibu wa katiba yetu, polisi wametimza wajibu wao kwa mujibu wa sheria kuwasikiliza wafuasi wa Chadema, cha kushanganza mleta mada anakuja na siasa zake za makengeza eti nguvu ya umma imeshinda polisi wangetumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa Chadema mgeanza kulalamika kuwa polisi wametumia nguvu nyingi kuwatawanya raia.

Mkuu ingekuwa hukutega shule ungeelewa matumizi ya Literal translation na Metaphorical translation.

Sasa unachokifanya hapo unatumia Literal translation katika tafakuri yako.
 
Kila dalili zinaashiria CDM 2015 itashinda kwa hiyo makamanda mjipange kwani kuongoza nchi si lelemama!

Umeongea POINT sana mkuu na naunga mkono 100% ...Naomba nishauri pia kwasababu kuongoza nchi ni kujipanga,ingeundwa kamati ya watu maalumu (wataalamu) wakapewa kazi ya kuanza kuandaa (kudraft) serikali itakaaje na system yake na watu watakaofiti maeneo ya utawala k.v CEOs,PSs n.k CDM kazi kwenu mda ndo huu tumewaamini jipangeni mapema
 
Inawezekana kwa utajiri tulio nao ukitumiwa vizuri wakalipwa kwani nchi za wenzetu Ulaya mbona wanalipwa. Ni uongozi bora na utumiaji vizuri wa utajiri tulio nao kila kitu kinawezekana
Ruzuku mmeshindwa kutumia vizuri mpaka mnatimuana,humuwezi kutuambia kitu cha maana hapo!
 
Hayo ndiyo mnayaweza sana makamanda kukimbizana mitaani kila cku. Wenzenu wanapiga pesa nyie ni kuongozwa tu kama ng'ombe wa huko usukumani
 
Back
Top Bottom