Ile ofa aliyotangaza Dr Ndodi Star tv ni utapeli mtupu

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
Nilipomuona dr ndodi anatangaza ofa ya kutibiwa bure kwa wote watakaoenda kupata tiba kwake kwa kulipia kiingilio tu cha sh.50,000/= nilijipa moyo kuwa tatizo langu la aleji litakuwa limepata ufumbuzi kutokana na sifa aliyokuwa nayo huyu bwana ndodi

Nilienda pale m/chai na kulipia hiyo 50,000 na kukutana na ndodi na alipa dawa na kuniambia kuwa nitatibiwa kwa wiki 15,.dawa za wiki ya kwanza zilivyoisha na kwenda kuchukua nyingine ndipo niliposhangazwa na madad wanaohudumia pale waliponitaka kutoa 50,000/= na kusisitiza kuwa kila wiki ninayokwenda pale ni lazima nilipie kiingilio cha 50,000 mpaka dozi ya wiki 15 iishe,..nilichoka na kugeuza zangu home,..ila frankly speaking kwa wiki moja niliyotumia dawa nilipata nafuu ya ajabu,..nashindwa kuendelea sababu ya ukata.

USHAURI:
NDODI UWE UNATOA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KULIKO KUTOA OFA ZA KULAGHAI WATU,..50,000/= imeliwa na dozi sijapata kamili,..iam sure iam not alone sababu kwa wale waliosikia na kumuona kwenye tv akitoa hiyo ofa watakubaliana nami alihaidi kutibu wagonjwa wote kwa 50,000 mpaka wanapona kabisa....loliondo ni 500,ila kwenda na kurudi gharama yake ni zaidi ya 500,000 mpaka unapata tiba...so disappointed
 
pole mweee. ndodi mjanja kagundua watu wanakimbilia loliondo ndo maana akajitangazia hivo kwa mkupuo akipata hizo fifty fifty zitamwongezea kaulaji.
 
nilipomuona dr ndodi anatangaza ofa ya kutibiwa bure kwa wote watakaoenda kupata tiba kwake kwa kulipia kiingilio tu cha sh.50,000/= nilijipa moyo kuwa tatizo langu la aleji litakuwa limepata ufumbuzi kutokana na sifa aliyokuwa nayo huyu bwana ndodi,.nilienda pale m/chai na kulipia hiyo 50,000 na kukutana na ndodi na alipa dawa na kuniambia kuwa nitatibiwa kwa wiki 15,.dawa za wiki ya kwanza zilivyoisha na kwenda kuchukua nyingine ndipo niliposhangazwa na madad wanaohudumia pale waliponitaka kutoa 50,000/= na kusisitiza kuwa kila wiki ninayokwenda pale ni lazima nilipie kiingilio cha 50,000 mpaka dozi ya wiki 15 iishe,..nilichoka na kugeuza zangu home,..ila frankly speaking kwa wiki moja niliyotumia dawa nilipata nafuu ya ajabu,..nashindwa kuendelea sababu ya ukata...
USHAURI:NDODI UWE UNATOA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KULIKO KUTOA OFA ZA KULAGHAI WATU,..50,000/= imeliwa na dozi sijapata kamili,..iam sure iam not alone sababu kwa wale waliosikia na kumuona kwenye tv akitoa hiyo ofa watakubaliana nami alihaidi kutibu wagonjwa wote kwa 50,000 mpaka wanapona kabisa....loliondo ni 500,ila kwenda na kurudi gharama yake ni zaidi ya 500,000 mpaka unapata tiba...so disappointed

ndo wabongo tulivyo, tunaimba kijamaa lakini tuna dance Kibepari. niliwahi kwenda na issue yangu fulan ivi-baada ya consultation kama kawa jamaa akaniambia natakiwa kutibiwa kwa wiki 6 na kila wiki nilitakiwa kulipia laki 3 ivo 1.8m na kwa kuwa nilikuwa na bro wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na maumivi ya mguu kwa sehemu ya kiunoni-tulitakiwa kulipa 3.6m-actually ni wachache wanaoweza kumudu. couldnt turn up!
 
Hivi lengo la tiba mbadala ni kuongeza au kupunguza gharama? 3.6M.... Makubwa mwenzangu.!
 
Mimi nilikiona hicho kipindi nikawa makini kufuatilia bwana we ,body language ya yule mama iliönyesha kabisa ule ushuhuda ulikuwa fake,stagemanaged,hata huyo mtangazaji anaönekana kufanya kazi za marketing manager wa ndondi hayuko critical yani yeye ni ufagio tu kwa ndodi.
Huyo ndodi tapeli dawa zake zaweza kuwa zinasaidia lakni anapodai ni kwa uwezo wa god hapo nashangaa.
Tiba mbadala bwana unaweza kuipata hata kupitia intanet na ukajitibu na kupona.
Kwa mfano,kama hupati choo kitalaamu ni CONSTIPATION.
Sasa ukigoogle tu neno hilo itakuletea habari zote kuhusu tatizo hilo pamoja na dalili,tiba za hosp mpaka za mbadala.
Sasa wajanja wanapata knowledge humo wanakuja kuibia watu humu.
Kweli nimeamini watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Ndodi ndodi...............kila kitu kwa ndodi ni dawa..................
 
poleni sana kwa kutomjua ndodi, mnapoumwa jamani msione uvivu kutafuta dawa kwenye internet mbona ndiko ndodi anapozitoa! lol poleni sana
 
ndo wabongo tulivyo, tunaimba kijamaa lakini tuna dance Kibepari. niliwahi kwenda na issue yangu fulan ivi-baada ya consultation kama kawa jamaa akaniambia natakiwa kutibiwa kwa wiki 6 na kila wiki nilitakiwa kulipia laki 3 ivo 1.8m na kwa kuwa nilikuwa na bro wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na maumivi ya mguu kwa sehemu ya kiunoni-tulitakiwa kulipa 3.6m-actually ni wachache wanaoweza kumudu. couldnt turn up!

Nilikuwa nasikia tu kwamba dawa zake ni ghali, lakini sikujua kama ni kiasi hicho, mtu hela ya kula tu inamshinda sembuse M zote hizo, kweli ukiwa hujui kitu mbona utaliwa hela mpaka ukome, si anasema anatumia miti (majani na matunda) sasa hayo mamiti huwa anayafuata nchi gani hadi kutoza namna hiyo!
 
yule bwana ni TAPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEL wa kutupwa.

bei za dawa kwake ni bora uende st thomas
 
Hizo M 3.6 unaweza kupeleka ndugu zako Loliondo na ukawahudumia kwa siku 6.
 
Nawashauri tu. Ndodi ni laghai. Nilivyosikia atatibu bure baada ya kulipiwa vipindi nilidhani kuna ahueni. Tena inawezekana hakuna mtu kama huyo. Hizo elf 50 zaweza kuzidi gharama za kulipia dawa. Nawashauri tu kuwa msikilizeni kwenye tv maana anatoa somo zuri tu. Then mchangie kipindi chake baada ya kupata maarifa anayotoa
 
Biashara matangazo babu wee.
Mkakimbilia tangazo na kusahau kuwa mwenzenu matangazo hayo kayalipia fedha lukuki
 
ndo wabongo tulivyo, tunaimba kijamaa lakini tuna dance Kibepari. niliwahi kwenda na issue yangu fulan ivi-baada ya consultation kama kawa jamaa akaniambia natakiwa kutibiwa kwa wiki 6 na kila wiki nilitakiwa kulipia laki 3 ivo 1.8m na kwa kuwa nilikuwa na bro wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na maumivi ya mguu kwa sehemu ya kiunoni-tulitakiwa kulipa 3.6m-actually ni wachache wanaoweza kumudu. couldnt turn up!

Duu! sikujua kama gharama zao ni kubwa kiasi hicho, ni balaa, acha watu wapige vikombe kwa babu!
 
ndodi ni tapeli tu hamna lolote anatafuta fedha naye aendeshe hammer kama kakobe
 
ndo wabongo tulivyo, tunaimba kijamaa lakini tuna dance Kibepari. niliwahi kwenda na issue yangu fulan ivi-baada ya consultation kama kawa jamaa akaniambia natakiwa kutibiwa kwa wiki 6 na kila wiki nilitakiwa kulipia laki 3 ivo 1.8m na kwa kuwa nilikuwa na bro wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na maumivi ya mguu kwa sehemu ya kiunoni-tulitakiwa kulipa 3.6m-actually ni wachache wanaoweza kumudu. couldnt turn up!
Duh! Hizi figa zinatisha, watz wengi hatuwezi, hata kiingilio cha 50,000 ni kikubwa jamani. Mie napenda kumsikiliza ndodi kny TV sana pia ningependa nimtembelee siku moja. Lkn kama gharama ni kubwa hivi bora nitabiwe zangu Mount meru kama kawaida. Ndodi is now ma TV doctor
 
Hivi lengo la tiba mbadala ni kuongeza au kupunguza gharama? 3.6M.... Makubwa mwenzangu.!

Nimejiuliza hivyohivyo, mwache atoze anavyotaka ni biashara huria, lakini kwa mtaji huo wala hatoi tiba anatafuta pesa tu, sasa yeye anaona fahari gani ya watu kuonja dawa na kuondoka bila kupata dozi kamili, au ndo hizo nauli za ndege. Maana naye anasafiri huyoo, kama mtu fulani hivi.
 
Back
Top Bottom