Ila wanaume….!

Njaa zenu ndio aibu zenu mtoto wa kike unadiwa 10k unashindwa kulipa eti kisa ww mwanamke utegemeze utawamaliza alafu mnataka haki sawa kenge wa bluu
 
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakupa hela tena 10k na anakudai? As if ulimwambia akuazime?

Na maneno juu ya karaha kweli tukue tuyaone. Nyie mtutunze tu msipate makasiriko.
Ulimpata wapi huyo ndugu😂😂nisikatize mitaa hiyo 😂
Doh umenikumbusha nami nilikopa ela sehemu ila sijadaiwa Bado🤣🤣🤣🤣nisipofungwa mwak huu sijui
 
Back
Top Bottom