Ila kwa hili naweza kubali wanajf

Katika Dunia ya warembo jina Mariam ni miongoni mwa majina yaliyobarikiwa sana kwa urembo,lakini kwa utafiti usio rasmi mariam(mary) hawajatulia kabisa wana mapepe(malaya).
Vilvile happiness huwa ni wazuri sana lakini pia hawajatulia
Pia Agness huwa ni wazuri na wapole sana

je wana jf ni kweli majina yanaendana na uzuri na tabia?
ongezea yako pia kama unajua
Imani potofu tupa mbali!!
 
Viringe vayoyo viringe vayoo, amina kaa chini tuyaone maringo yako bingiribingiri baaa.
Rudia kiitikio; viringe......

mkuu umenikumbusha chekechea na primary mwanzoni mwa miaka ya 80, majozi yaninijia taratiiiiiiiiiiiiiiiiiibu, mweeeeeeh!
 
mkuu umenikumbusha chekechea na primary mwanzoni mwa miaka ya 80, majozi yaninijia taratiiiiiiiiiiiiiiiiiibu, mweeeeeeh!

Dah mkuu mbali sana, jamani naomba kuuliza kama kuna aliyemwona mmoja wao kati ya hawa EXCELENT, JAKUMBUMBA, ERICK52 NA LIZZY, waambieni nina salamu zao kutoka kwa WA KUSOMA.
 
Back
Top Bottom