Ikungi: Wananchi walala kwenye eneo atakalohutubia Tundu Lissu ili kuwahi nafasi

Nashauri tafuteni mgombea Mwanamke apambane na Mwanamke wa CCM, itakuwa ni aibu sana mwanaume mzima kushindwa na Mwanamke!.
P
Hii comment haitakiwi kutoka kwa mtu kama wewe. Iondoe, inakutia dosari kubwa.

Kwani unauonaje utu wa mwanamke? Unaamini kuwa mwanamke ana ubinadamu pungufu? Huko makazini, maboss wote ni wanaume pekee? Hao wanaume wanaofanya kazi kwenye idara au makampuni ambayo wakuu wao wa kazi ni wanawake, ina maana wapo katika aibu au laana? Katiba yetu inapotamka kuwa binadamu wote ni sawa, wanawake hawapo katika hao binadamu?

Sasa hivi kiongozi mkuu wa nchi ni mwanamke, ina maana sisi wanaume wote tupo katika aibu?
 
Ni uleule ujinga tu, yani ujitie tabu hivyo ili kuwahi nafsi ya kusikiliza vitu ambavyo hata ukikaa nyumbani unaweza kusikiliza kila kitu mwanzo mwisho? Hao hao ndio linapokuja suala la kudai katiba mpya wanaonekana wamewaachia wanasiasa na kuitwa waoga.
 
Hii comment haitakiwi kutoka kwa mtu kama wewe. Iondoe, inakutia dosari kubwa.

Kwani unauonaje utu wa mwanamke? Unaamini kuwa mwanamke ana ubinadamu pungufu? Huko makazini, maboss wote ni wanaume pekee? Hao wanaume wanaofanya kazi kwenye idara au makampuni ambayo wakuu wao wa kazi ni wanawake, ina maana wapo katika aibu au laana? Katiba yetu inapotamka kuwa binadamu wote ni sawa, wanawake hawapo katika hao binadamu?

Sasa hivi kiongozi mkuu wa nchi ni mwanamke, ina maana sisi wanaume wote tupo katika aibu?
Sisi ni Waafrika, tukubali tukatae wanaume na wanawake hatufanani!. Kuna vitu mwanamume hutakiwi kushindana na Mwanamke, mfano mwanamume hatakiwi kupigana na Mwanamke kwasababu it's presumed Mwanamke ni inferior kwa mwanamume hivyo ikitokea mwanamume akapigana na Mwanamke, akipigwa ni aibu!.

Vivyo hivyo kwenye kugombea uongozi mgombea maarufu kama Tundu Lissu kugombea na mgombea mwanamke, akishindwa ni aibu!. Kushindwa na Mwanamke ni aibu!.
P
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema, ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema.

View attachment 2506500
Picha ya waliolala please
 
Ifike pahala tuseme Ile ukweli hakuna raia aliyelala atalapofanyia lissu mkutano mpaka muda huu wannabembeleza watu wake kwenye mkutano. Ni watu wachache waliopo hapa. 13:38
 
Umesahau na sambaru mkuu.....wewe ni mwenyeji wa huko kabisa pia kuna banda mbili tatu mpaka saba umenifulahisha kabisa, kumbe jf ni kubwa sana.

Kuna sehemu inaitwa ntewa kuna mnada huko nyama za kuchoma kwa wingi sana barikiwa sana,nilitamani kuwepo sema ratiba imebana nitakua huku visiwani.
Mji umekuwa sana kipindi hiki
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema, ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema.

View attachment 2506500
Picha ziko wapi?
 
Sisi ni Waafrika, tukubali tukatae wanaume na wanawake hatufanani!. Kuna vitu mwanamume hutakiwi kushindana na Mwanamke, mfano mwanamume hatakiwi kupigana na Mwanamke kwasababu it's presumed Mwanamke ni inferior kwa mwanamume hivyo ikitokea mwanamume akapigana na Mwanamke, akipigwa ni aibu!.

Vivyo hivyo kwenye kugombea uongozi mgombea maarufu kama Tundu Lissu kugombea na mgombea mwanamke, akishindwa ni aibu!. Kushindwa na Mwanamke ni aibu!.
P
Wewe wakati unagombea ubunge na kushindwa vibaya ulipata aibu kwa kushindwa na wanawake huko ccm? Uchawa unakusumbua sana
 
Ifike pahala tuseme Ile ukweli hakuna raia aliyelala atalapofanyia lissu mkutano mpaka muda huu wannabembeleza watu wake kwenye mkutano. Ni watu wachache waliopo hapa. 13:38
Kama ni wachache weka picha hapa tuwaone. Jf imevamiwa na nyie wapuuzi wachache mnaojifanya kuwepo Kila mahali kama majini
 
Ikungi oyee
1674289022174.jpg
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema, ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema.

View attachment 2506500
Halafu Kuna watu wataamini!
 
Kama ni wachache weka picha hapa tuwaone. Jf imevamiwa na nyie wapuuzi wachache mnaojifanya kuwepo Kila mahali kama majini
Mpuuzi ni wewe ambaye uko mbali na eneo la tukio na Mimi Niko eneo la tukio. Mpaka muda naandika hapakuwepo tundu lissu Wala mbowe. Kwahiyo msidanganye watu kwamba wananchi wamelala pahala patakapofanyiwa mkutano.
 
Tuache mambo ya kijinga na ya kuwafanya watu wawaamini wapuuzi kama nyie Na mbaya zaidi chadema wameiga wimbo wa zuchu wa Hi hi. Nyambaafu.
 
Back
Top Bottom