Ikungi: Wananchi walala kwenye eneo atakalohutubia Tundu Lissu ili kuwahi nafasi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,236
219,434
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema, ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema.

FB_IMG_1674677130944.jpg
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu , kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema , ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema , akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema .

View attachment 2506500
Tuma picha au video kuthibitisha
 
Wacha blah blah....weka hata clip tuthibitishe!

Vinginevyo ni yaleyale!

Kiwewe cha kukataliwa kanda ya ziwa,bado kinawatesa Chadema!
 
"Kuna hawa ndugu zetu wa upande ulee wao wanaamini kwamba bwanakuja kutoka ubelgiji atakuwa rais na amekuja kuwakomboa, niwaambieni tu Watanzania wenzangu hilo haliwezekan na halitowai kutokea, kuliko kupoteza kura yako kwa kumchagua huyo bwana endapo atagombea2025 basi ni bora usipige kura maana hatoshinda"

hayo ni baadhi ya maneno ya yuleee mwanaC+C+M anaeamini kuwa watu wazuri hawafi....mwisho wa kunukuu
 
kwa umri wake huyo anayesema wazuri hawafi , mwaka huo atakuwepo ?
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu , kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema , ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema , akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema .

View attachment 2506500
BaaViChaaaa ndo anaamka chacha tayari kwa mapokezi....

Piiiiiiiiiipoooooooooooozzzzz........ CHAWA.....
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema, ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema.

View attachment 2506500

IMG_5737.jpg
 
Mungu ibariki CHADEMA

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo litakalofanyika Mkutano wa hadhara wa Chadema, ambapo viongozi mbalimbali wa Chadema, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu watahutubia .

Malengo ya wananchi hawa kufanya mkesha huo ni kuwahi nafasi ili wasikose kusikia Spana za kesho .

Mungu ibariki Chadema.

View attachment 2506500
mpendwa nisaidiye kuelewa,john mrema,kigaila na yulebwana anandevu zamvi wanapatikanaje wale mana sijawahi kusikia uchaguzi umefanyika.
 
Hapo ndio wamelala!?mkutano ambao haufikishi watu elfu hamsini nao ni WA watu kulala uwanjani!?vituko
 
Back
Top Bottom