IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

Rais wa Nchi hii Dr John Magufuli anapokea ripoti ya uchunguzi kuhusu mchanga wa madini ambao husafirishwa nje ya nchi makontena kwa makontena. Ripoti hii itatoa dira na mwelekeo wa miongozo inayotakiwa kufuatwa na kufanyika kunusuru rasilimali zetu kwa maslahi ya watz.

FUATILIA UZI HUU KWA LIVE UPDATES PIA FUATILIA KUPITIA TBC1
Ingekuwa ITV ningeangalia ila hiyo tbc1 Nina aleg nayo miaka mingi tu
 
Tusubiri kuyaona na kusikia ambayo hatujawahi kusikia na yatakayojiri hivi punde..!
 
NImesikitika sana Jamiiforums imeshindwa kabisa kutupa link ya live stream ya tukio muhimu kama hili

really sad
 
Sasa hivi wa upande ule utawasikia wanalalama mbona wa dini yetu wachache kwenye tume hii.
 
Back
Top Bottom