Am keep watching...
Vip komando bashite nae yupo.???
Kwenye itifaki hakutajwa sijui mkuu kamzui ili TV zote zioneshe?! si unajua bashite ni kirusi kwenye TV zenye akili isipokuwa TBC n aSTAR?!Am keep watching...
Vip komando bashite nae yupo.???
N a cheyo humuoni? ccm B watakosaje kwa mfano?Namuona Mheshimiwa Mrema
Wakwepa kodi na wauza ngada hawawezi kukaa hapo.N a cheyo humuoni? ccm B watakosaje kwa mfano?
Ingekuwa ITV ningeangalia ila hiyo tbc1 Nina aleg nayo miaka mingi tuRais wa Nchi hii Dr John Magufuli anapokea ripoti ya uchunguzi kuhusu mchanga wa madini ambao husafirishwa nje ya nchi makontena kwa makontena. Ripoti hii itatoa dira na mwelekeo wa miongozo inayotakiwa kufuatwa na kufanyika kunusuru rasilimali zetu kwa maslahi ya watz.
FUATILIA UZI HUU KWA LIVE UPDATES PIA FUATILIA KUPITIA TBC1
wakwepa kodi watakwepaje? wauza nganda wapo wengi tu hapo hao si ndio waliojenga ccm? au umesahau kauli ya mstaafu kuwa wakiguswa nchiitatikisika? Eti unamshika wema na bangi unamuacha GSM . ujinga huu utadanganywa vitoto.Wakwepa kodi na wauza ngada hawawezi kukaa hapo.
TV wapo live mkuu angalia.Ingekuwa ITV ningeangalia ila hiyo tbc1 Nina aleg nayo miaka mingi tu
Kama namuona LissuNamuona Mheshimiwa Mrema