IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,908
4,771
Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa wa wizara hiyo.
Basi naona hiyo ni fursa ni kumuondoa Prof. Ndalichako kwenye elimu na kumpeleka kwenye hiyo wizara ambayo mimi naona itamfaa kuliko wizara nyeti ya elimu.
Katika wizara ya elimu ataeliwe mtu mwenye uthubutu, anayejiamini, mbunifu na mwenye commitment juu ya kazi yake.
Prof. Joyce hafanyi lolote kule. Amezidiwa hata na Mama Ummy na anasaidiwa sana na Ummy kwenye majukumu yake.
Kwa ufupi, hafai wizara ya elimu.
Atafutwe mtu mwenye commitment ya level au zaidi ya Lukuvi, Ummy na Mulamula katika field zao.
Tunahitaji kufanya kitu kwenye elimu.
 
hahahahaha, Ndalichako Profesa arudi kupiga lecture tu pale UDSM....hii wizara apewe Babu Tale au Mzee wetu Kishimba..ikishindikana kabisa apewe Dr Msukuma....

Miaka yote tumekuwa tukiweka wasomi bilabila sasa hebu tujaribu lasaba B tuone, wakishindwa basi tutaketa Mzungu kutoka London..
 
Lukuvi aende elimu? You are not serious!!
 
Apewe pole pole ili kumuenzi jpm
 
Lukuvi aende elimu? You are not serious!!
Soma vizuri mkuu. Nimetoa mfano wa watu ambao wameonyesha commitment kwenye wizara wanazosimamia. Sijataja jina la mtu wa kupelekwa Elimu.
 
Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa wa wizara hiyo.
Basi naona hiyo ni fursa ni kumuondoa Prof. Ndalichako kwenye elimu na kumpeleka kwenye hiyo wizara ambayo mimi naona itamfaa kuliko wizara nyeti ya elimu.
Katika wizara ya elimu ataeliwe mtu mwenye uthubutu, anayejiamini, mbunifu na mwenye commitment juu ya kazi yake.
Prof. Joyce hafanyi lolote kule. Amezidiwa hata na Mama Ummy na anasaidiwa sana na Ummy kwenye majukumu yake.
Kwa ufupi, hafai wizara ya elimu.
Atafutwe mtu mwenye commitment ya level au zaidi ya Lukuvi, Ummy na Mulamula katika field zao.
Tunahitaji kufanya kitu kwenye elimu.
Hangaya anataka kujaza mademu tu kwenye utawala wake,na anawadharau sana wanaume.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
hahahahaha, Ndalichako Profesa arudi kupiga lecture tu pale UDSM....hii wizara apewe Babu Tale au Mzee wetu Kishimba..ikishindikana kabisa apewe Dr Msukuma....

Miaka yote tumekuwa tukiweka wasomi bilabila sasa hebu tujaribu lasaba B tuone, wakishindwa basi tutaketa Mzungu kutoka London..
Dr. Msukuma anatosha kwenye hiyo Wizara.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi vyuo vikuu siku hizi kuna watu wenye commitment na mawazo chanya kama walivyowahi kupatikana kina Mark James Mwandosya, Prof. Benno Ndulu, Dr. Philip Mpango, Prof. Costa Mahalu, Prof. Kabudi? Au watu wazima waliokuzwa kwenye system na kuwa na exposure na hekima kama kina Dr. Augustine Philip Mahiga, Matern Lumbanga(Balozi), Rose Migiro na Balozi Sefue?
Kuna balozi wetu wa sasa China Bwana. Mbelwa Kairuki, naona kama akili zake zina full betri. Ateuliwe kuwa mbunge then apewe waziri wa Elimu.
 
Kabudi?? Noooo!!! Namshukuru sana Mzee Bulembo kwa kumwambia ukweli huyu Profu Majalala...
 
Angalia naibu wa hiyo wizara anaesimamia upande huo wa jinsia wazee na watoto katokea wapi ni kutaka kumfanya waziri kamili.

Anyway not to blame anyone kwenye aspects za social services wanapwaya sana sio huyo mama wakizanzibari aliyepachikwa hapo kama naibu waziri. Hata Dorothy Gwajima amebobea kwenye health management tu, social issues ni changamoto kwake kwa kumsikiliza.

Hao watu wanahitaji diaspora mmoja a qualified social worker with years of practice experience kuwa mshauri wa sera wizarani.

Child protection in Tanzania is just appalling kila siku watoto wanauwa; halafu viongozi awaoni shida kabisa. Hao wamama kutandikwa na waume zao it’s a norm. Soon tunaenda chochea mimba za utotoni tena.

Dah unapozaliwa kunachangia sana usalama wako wa maisha.

Halafu kuna sababu za msingi kwanini nchi nyingi duniani health and social work ni wizara moja based on several strategic interventions zinazotaka ustawi wa jamii na afya kuwa na coordinations.
 
Back
Top Bottom