jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
Mkuu ulisema hivi.....Jmushi1,kuna sehemu yoyote hapo inataja brake pads???
mbebabox said:Jiwe linaweza kunasa katikati ya BREAK DISC na METAL COVER ya break disc, ambayo iko on the inside of the break disc.
Ukiangalia mpangilio ni tairi nje,inafuata break disc,then cover ya disc iko upande wa ndani wa disc SIO ULE WENYE STUD ZA KUSHIKILIA TAIRI.
Hata hivyo umebadilika sasa wewe na rims tu...Can you stick with one thing?
Labda sijakuelewa kwasababu unahitajika kuweka maelezo zaidi kama unataka ueleweke....Metal cover ya brak disc ni kitu gani hicho?Navyoelewa hata discs nazo ziko made up with metal.