Ikulu kuna nini?

Jmushi1,kuna sehemu yoyote hapo inataja brake pads???
Mkuu ulisema hivi.....

mbebabox said:
Jiwe linaweza kunasa katikati ya BREAK DISC na METAL COVER ya break disc, ambayo iko on the inside of the break disc.
Ukiangalia mpangilio ni tairi nje,inafuata break disc,then cover ya disc iko upande wa ndani wa disc SIO ULE WENYE STUD ZA KUSHIKILIA TAIRI.

Hata hivyo umebadilika sasa wewe na rims tu...Can you stick with one thing?
Labda sijakuelewa kwasababu unahitajika kuweka maelezo zaidi kama unataka ueleweke....Metal cover ya brak disc ni kitu gani hicho?Navyoelewa hata discs nazo ziko made up with metal.
 
Kwahiyo wewe unasapoti maelezo ya kunasa kwenye rim yaliyotolewa na msemaji wa ikulu?kwasababu uwezekano wa hizo kelele haupo kama maelezo yako hayahusishi jiwe hilo kunasa kwenye disc brakes,na ndio maana hapo mwanzo nikakuuliza kama kuna posibility ya hizo kelele....Usijali la kuhusu ligi coz muda huo sina.

mkuu,in short hatuelewani,unaweza kuwa right/wrong.....na mimi naweza kuwa right/wrong.....tuachie hapa tu.
 
Jamani wapendwa wana JF wenzangu, Nimedata? within one month 3 cars within predent's office related to him straight have been involved in scandals of tyres and dirty fuel. Who is iresponsible to that? who has to be punished? How is president supposed to react to this for his security?

Ikulu yakanusha Rais kupata ajali

20th June 2010

Ikulu imekanusha na kufafanua juu ya taarifa iliyotolewa na gazeti moja la kila siku (sio Nipashe) lililoripoti kuwa Rais Jakaya Kikwete amenusurika katika ajali baada ya gari lake kupasuka tairi wakati msafara wake ukipita hifadhi ya Katavi.

Taarifa iliyotolewa na Mwandishi wa habari msaidizi wa Rais, Premi Kibanga, ilisema taarifa hizo si za kweli na kufafanua kuwa wakati msafara wa Rais ukipita katika hifadhi ya Katavi kutoka Namanyere kwenda Sumbawanga, jiwe lilinasa kwenye rim ya gari na kuanza kusababisha sauti isiyo ya kawaida hali iliyolazimu dereva wa gari ya Rais kusimama na kumhamisha Rais kwenye gari ya ziada ambayo siku zote huwa kwenye msafara kwa ajili ya dharura.

Alisema baada ya hatua hiyo msafara uliendelea na mafundi wa Ikulu walibaki nyuma kushughulikia hitilafu ambayo iligundulika kuwa kwenye tairi ya nyuma upande wa kushoto ili kutoa jiwe lililonasa kwenye rim na kusababisha mlio usio wa kawaida.

Kibanga alisema wakati shughuli hiyo ikiendelea walifika maofisa wa Polisi kutoka Mpanda ili kulinda gari la Rais na walikuta mafundi wakiwa katika shughuli ya kurudishia tairi ambayo ilitolewa kwa ajili ya kutoa jiwe kwenye rim na wala haikuwa pancha kama ilivyoelezwa kwenye taarifa hiyo.

”Napenda kusisitiza kuwa katika hali hiyo hakukuwa na hatari yoyote ya kuweza kuelezewa kuwa Rais amenusurika ajali. Hiyo ni dua mbaya kwa mtu yeyote usiyemtakia au kumtakia mema kwa hali yoyote ile na wala si ustaarabu na heshima kwa kiongozi wako mkuu wa nchi.

Sio kila tukio lolote la kupata pancha au kupata hitilafu ya gari linaweza kuelezewa katika hali kama ilivyoelezewa katika taarifa hiyo ya gazeti la Mtanzania hadi kuleta taharuki na kujengea watu na jamii nzima hofu isiyo na msingi,” alisema. Alisisitiza umuhimu wa waandishi wote kupata taarifa za ufafanuzi na za udhibitisho kutoka kwa watu walio na mamlaka ya kufanya kazi hiyo na wala sio kutoka kwa mtu yeyote aliyeyoko serikalini ama Ikulu.

Alisema ni wajibu wa mwandishi wa habari yeyote aliye makini kupata ufafanuzi wa taarifa zozote alizonazo. “Nasikitika kwamba hakuna mwandishi yeyote aliyenitafuta ili nimpe ufafanuzi wa jambo hili, kwa sababu mimi ndiye niliyekupo kwenye msafara wa Rais.

Hili ndiyo jukumu kubwa na la msingi kwa mwandishi au chombo chochote cha habari ili kuondoa mkanganyiko wa maelezo ama taarifa ya matukio muhimu mahali popote.”

CHANZO: NIPASHE JUMAPILI


Ingekuwa ni Mwanahalisi, saa hizi Mkuchika angekuwa kesha lifungilia mbali!
 
Mkuu ulisema hivi.....



Hata hivyo umebadilika sasa wewe na rims tu...Can you stick with one thing?

wewe kweli ni mgumu kuelewa...mwanzo nilikupa hio possibility ya jiwe kunasa btn brake disc na metal cover ikatoa kelele,nilikwambia ishawahi kunitokea.
then ukasema kwa hii kesi wamesema ilinasa kwenye rim,ndio nikakwambia tena hata kwenye rim inawezekana ndio ukataka nifafanue nikafafanua sasa tatizo nini???
1.IT IS VERY POSSIBLE JIWE KUNASA KATIKATI YA BRAKE DISC NA KAVA YAKE NA KUTOA SAUTI
2.IT IS POSSIBLE JIWE KUNASA BTN RIM NA BRAKE DISC NA KUTOA SAUTI.
NENDA KAANGALIE RIM UTAONA GAP NA HIZO POSSIBILITY ACHA LIGI MKUU........................................
 
duh tanganyika bana mambo siyo kabisa...! Hivi huyu msemaji wa Rais huwa anasema anachokijua au anasema anachoambiwa?
 
wewe kweli ni mgumu kuelewa...mwanzo nilikupa hio possibility ya jiwe kunasa btn brake disc na metal cover ikatoa kelele,nilikwambia ishawahi kunitokea.
then ukasema kwa hii kesi wamesema ilinasa kwenye rim,ndio nikakwambia tena hata kwenye rim inawezekana ndio ukataka nifafanue nikafafanua sasa tatizo nini???
1.IT IS VERY POSSIBLE JIWE KUNASA KATIKATI YA BRAKE DISC NA KAVA YAKE NA KUTOA SAUTI
2.IT IS POSSIBLE JIWE KUNASA BTN RIM NA BRAKE DISC NA KUTOA SAUTI.
NENDA KAANGALIE RIM UTAONA GAP NA HIZO POSSIBILITY ACHA LIGI MKUU........................................

Acha niwatizame Ivory Coast vs Brazil hapa maana naona ni kweli huwezi kueleweka,si kwamba mimi ni mgumu kuelewa,bali wewe ndo hueleweki,hakuna cha ligi wala nini hapa JF huwezi kujiongelea tuu!Kuliko hivyo kaa kimya,ndo utaratibu,lakini ukishaamua kuyavulia maji nguo,then shurti uyakhoge!

A brake disc is made up with metal,sasa hiyo cover ya brake disc unayodai ni metal sikuelewi unamaanisha kitu gani,umeseshasema wengine ni madereva sasa huu ndo utaalam?na matatizo hayo uliyoyapata huyo fundi sijui fundi gani,labda na wewe hukumwelewa,fanya uchunguzi zaidi utaona kuna namna haumake sense.
 
A brake disc is made up with metal,sasa hiyo cover ya brake disc unayodai ni metal sikuelewi unamaanisha kitu gani,umeseshasema wengine ni madereva sasa huu ndo utaalam?na matatizo hayo uliyoyapata huyo fundi sijui fundi gani,labda na wewe hukumwelewa,fanya uchunguzi zaidi utaona kuna namna haumake sense.

no wonder hunielewi,YOU HAVE NO CLUE...............
 
Just like what happened on the attachement??????????????? hata halijasahaulika mweeee!
 

Attachments

  • prs1.pdf
    895.4 KB · Views: 86
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom