IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

Hivi huwa kazi yake, kikatiba, ni nini? Kuna wakati anatoa amri Kama amiri jeshi mkuu!
Mkuu ulitaka afanyeje kama aliepaswa kutoa amri hizo kashindwa! Msimuonee tuu huyu jamaa Unga bwana na muhimu kwa watoto wake. na kwani yeye anapenda kufa???
 
Huyu jamaa huwa kila nikimuona kwenye tv huwa najisikia kichefuchefu maana hana la maana ambalo huwa anaongea zaidi ya pumba.
 
Back
Top Bottom