zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
Kwahyo ulitaka akae kimya tu??? Ssa si walifuata kuuliza maoni yake!!! Mbona spika alichangia na wengi tu walitoa mawazo ya kisheria iweje kwa lisu iwe kesi????Alianza kukimbilia mambo ya sheria wakati mda wa sheria ulikuwa bado.
Yaani nchi nzima mnasubiri habari za mchanga ambao hata tukiuzuia tutaambulia kontena 4 kati ya kontena 100 kma mrahaba!!!!! alafu tunaacha kujadili iweje matofali ya dhahabu wanayonufaika nayo wazungu kwenye hyo 96%
Ni sawa na kuacha chakula mezani ukaenda gombea ukoko na mbwa jikoni!!!!