Taarifa ya kamati kuhusu ripoti za CAG kwa hesabu zilizokaguliwa za serikali kuu na mashirika ya umma kwa mwaka 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,988
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 3, leo Novemba 2, 2023.

View: https://www.youtube.com/live/Px2Csdrfk20?si=ydhC7gCMmMBrjxso

===
TAARIFA YA KAMATI KUHUSU RIPOTI ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI, 2022
 
Attachments

  • ONLINE TAARIFA YA KAMATI YA PAC.pdf
    1.2 MB · Views: 9
Paul Makonda ametambulishwa bungeni muda huu akifuatilia kwa makini uwasilishaji wa Taarifa za Kamati kuusu Ripoti ya CAG iliyobainisha ufisadi wa matrilioni ya Fedha katika miradi ya SGR, Bwawa la Nyerere, TANROADS, NHIF na maeneo mengi.
 
Shirika la Umma la TBC limekata matangazo ya Bunge muda huu wakati wabunge wakijadili Ripoti ya CAG, kwanini TBC chombo cha umma kizuie wananchi wasiangalie wabunge wakijadili ripoti ya CAG?

Au ni maelezo ya Nape kuwalinda rafiki zake walioguswa na ripoti ya CAG?
 
Nimeshangaa sana

Makonda ingilia Kati wewe ndiwe Muenezi wa Taifa Ili Wananchi wote wafikiwe na Taarifa muhimu
 
SHIRIKA la Umma la TBC limekata matangazo ya Bunge MUDA HUU wakati wabunge wakijadili Ripoti ya CAG, kwanini TBC chombo cha umma kizuie wananchi wasioangalie wabunge wakijadili ripoti ya CAG.

Au ni Maelezo ya Nape? kuwalinda rafiki zake walioguswa na ripoti ya CAG?
Wezi wote walishasamehewa tusitarajie mapya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paul Makonda ametambulishwa bungeni muda huu akifuatilia kwa makini uwasilishaji wa Taarifa za Kamati kuusu Ripoti ya CAG iliyobainisha ufisadi wa matrilioni ya Fedha katika miradi ya SGR, Bwawa la Nyerere, TANROADS, NHIF na maeneo mengi.
Hii sgr wangeweka nguvu kwanza lot 1 na 2 zikaisha kabisa 100% angalau treni za abiria na mizigo zianze kutembea mwaka huu .
Tanroad wanafeli pakubwa Hata kuziba mashimo ya barabara au kuweka alama za barabarani ikiwa ni pamoja na matuta au kurekebisha Taa za barabara wanashindwa.
 
Kutakuwa hakuna haja ya kukagua Kama hakuna was kuhukumu wara kufuatilia

Jah bless makonda maybe he can do it
 
Shirika la Umma la TBC limekata matangazo ya Bunge muda huu wakati wabunge wakijadili Ripoti ya CAG, kwanini TBC chombo cha umma kizuie wananchi wasiangalie wabunge wakijadili ripoti ya CAG?

Au ni maelezo ya Nape kuwalinda rafiki zake walioguswa na ripoti ya CAG?
Mkuu hata wakijadili ukiwa unaona utafanya Nini? Nguvu ya wananchi ilishapotea muda mrefu. Sasa hivi ni kija kutiana hasira huku mitandaoni kisha tunaendelea na mgao wa umeme kama kawaida, na hakuna lolote tutafanya.
 
Back
Top Bottom