Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za biashara kwa Serikali na Wafanyabiashara

Rais ametaja changamoto za wafanyabiashara kuwa ni ukwepaji kodi, kutelekeza mitambo ya viwanda waliyobinafsishiwa, udalali nk
 
Pia baadhi ya wafanyabiashara wamejenga viwanda kama geresha tu. Kuna majengo ya viwanda lakini bidhaa zinatoka nje
 
Mimi huwa namshangaa sana rais kulalamikia vitu ambavyo vimewekwa na CCM na serikali yake. Utasikia mikataba mibovu lakini aliyeingia ni serikali ya ccm, sasa mara tumeibiwa sana lakini walioiba ni viongozi na watendaji wa ccm wakiwemo waliouza nyumba za serikali. Sasa ana lalamikia utitiri wa taasisi wakati na zenyewe zimewekwa na serikali ya ccm. Sasa anapolalamika hivyo je ni hao wafanya biashara ndio wanaotakiwa kuzifuta?
 
Rais JPm usisikilize makelele ya wapiga deal sisi tunaopiga kazi mambo yetu ni safi kabisa,wapuuze hao.watakula bata ukiondoka madarakani kama ulivyosema kule mbeya,usirudi nyuma .shikilia hapohapo baba,tulichelewa mnoo,huu ndiyo uchumi wetu halisi ule wa Jk ulikuwa fake wenye pesa chafu za wauza madawa wa billicanas tumevunja club ya mbowe na madawa yametoweka mtaani
Unapata wapi pesa kama jamii inayokuzunguuka haina pesa?
 
Mimi huwa nashangaa sana rias kulalamikia vitu ambavyo vimewekwa na CCM na serikali yake. Utasikia mikataba mibovu lakini aliyeingia ni serikali ya ccm, sasa mara tumeibiwa sana lakini walioiba ni viongozi na watendaji wa ccm wakiwemo waliouza nyumba za serikali. Sasa ana lalamikia utitiri wa taasisi wakati na zenyewe zimewekwa na serikali ya ccm. Sasa anapolalamika hivyo je ni hao wafanya biashara ndio wanaotakiwa kuzifuta?
Swali la msingi sana.
 
Rais JPm usisikilize makelele ya wapiga deal sisi tunaopiga kazi mambo yetu ni safi kabisa,wapuuze hao.watakula bata ukiondoka madarakani kama ulivyosema kule mbeya,usirudi nyuma .shikilia hapohapo baba,tulichelewa mnoo,huu ndiyo uchumi wetu halisi ule wa Jk ulikuwa fake wenye pesa chafu za wauza madawa wa billicanas tumevunja club ya mbowe na madawa yametoweka mtaani
Hawasikilizi tena wapiga domo maana ndio mlimdanganya kuwa hao ni mashetani leo kajikuta anwahitaji mashetani kuliko wapiga domo wa ccm.
 
Rais Dkt John Magufuli anaongea na wafanyabiashara Nchini ambapo katika hotuba yake ametaja vikwazo vikuu vya biashara Nchini kuwa ni Rushwa, utitiri wa kodi na tozo, ukosefu wa mitaji, Mawakala wa TPDF na utitiri wa taasisi zinazosimamia biashara. Rais JPM anaendelea na hotuba na atawakaribisha wafanyabiashara kutoa maoni yao.
Kwani si tuliambiwa wanaofunga biashara zao ni wapiga dili?
 
Back
Top Bottom