Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,527
- 37,943
Kawaita kuwananga wafanyabiashara ...
Yaan teh anawaponda kinoma ...
Yaan teh anawaponda kinoma ...
Unapata wapi pesa kama jamii inayokuzunguuka haina pesa?Rais JPm usisikilize makelele ya wapiga deal sisi tunaopiga kazi mambo yetu ni safi kabisa,wapuuze hao.watakula bata ukiondoka madarakani kama ulivyosema kule mbeya,usirudi nyuma .shikilia hapohapo baba,tulichelewa mnoo,huu ndiyo uchumi wetu halisi ule wa Jk ulikuwa fake wenye pesa chafu za wauza madawa wa billicanas tumevunja club ya mbowe na madawa yametoweka mtaani
unadhani yatakuwa na tija yoyote ? maana si rahisi kufufua maiti , uchumi umeachwa hadi umekufa kwa 80%Iko live TV zote saa hii
Swali la msingi sana.Mimi huwa nashangaa sana rias kulalamikia vitu ambavyo vimewekwa na CCM na serikali yake. Utasikia mikataba mibovu lakini aliyeingia ni serikali ya ccm, sasa mara tumeibiwa sana lakini walioiba ni viongozi na watendaji wa ccm wakiwemo waliouza nyumba za serikali. Sasa ana lalamikia utitiri wa taasisi wakati na zenyewe zimewekwa na serikali ya ccm. Sasa anapolalamika hivyo je ni hao wafanya biashara ndio wanaotakiwa kuzifuta?
Ni ushamba pia!Jamaa anapenda kututsha kwamba maafisa usalama wapo , so waat ...
So childish ..
Haf sio mara ya kwanza ...
Ataachaje kulia wakati amewaita mashetani wajadiliane jinsi ya kuishi kwa ushirikiano?Mbona analia?
runadhani yatakuwa na tija yoyote ? maana si rahisi kufufua maiti , uchumi umeachwa hadi umekufa kwa 80%
Hawasikilizi tena wapiga domo maana ndio mlimdanganya kuwa hao ni mashetani leo kajikuta anwahitaji mashetani kuliko wapiga domo wa ccm.Rais JPm usisikilize makelele ya wapiga deal sisi tunaopiga kazi mambo yetu ni safi kabisa,wapuuze hao.watakula bata ukiondoka madarakani kama ulivyosema kule mbeya,usirudi nyuma .shikilia hapohapo baba,tulichelewa mnoo,huu ndiyo uchumi wetu halisi ule wa Jk ulikuwa fake wenye pesa chafu za wauza madawa wa billicanas tumevunja club ya mbowe na madawa yametoweka mtaani
Rais Dkt John Magufuli anaongea na wafanyabiashara Nchini ambapo katika hotuba yake ametaja vikwazo vikuu vya biashara Nchini kuwa ni Rushwa, utitiri wa kodi na tozo, ukosefu wa mitaji, Mawakala wa TPDF na utitiri wa taasisi zinazosimamia biashara. Rais JPM anaendelea na hotuba na atawakaribisha wafanyabiashara kutoa maoni yao.
Ataachaje kulia wakati amewaita mashetani wajadiliane jinsi ya kuishi kwa ushirikiano?