IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

Ni jambo la kiungwana kwa mtu yoyote anapokosea kuomba msamaha.

Tundu Lisu umewakosea sana watanzania kwa kutetea mafisadi wa madini yetu.

Baada ya mmiliki wa Acacia kuja kufanya mazungumzo na rais na kukubali kulipa hela, ni bora sasa Lisu ukajitokeza na kuwaomba watanzania na kuahidi hutarudia tena.
Acha ushamba bado hawajakubaliana kitu bali kuna mapendekezo ya kufanya mikutano wajadiliane ndipo uje mwafaka.
 
Tundu Lissu alitoa tahadhari sasa hebu nambie labda kipi cha msingi kilichofanyika zaidi ya zile ngonjera za kila siku tunazozisikia,crazy bald head mnashida sana,nchi ya matukio na teuzi kila siku
 
Wera wera walipe haraka saaana Mimi waninunulie Noah yangu faster maana na road license hakuna
 
mchezo wa makinikia ni propaganda tupu, na ripoti za wataalamu za makinikia ni rubbish tupu
Tungeshitakiwa ndiyo isingekuwa propaganda? Maana jamaa wamedhalilishwa na ripoti zote mbili na makontena yao yamezuiliwa bandarini na walidai wanapoteza mamilioni ya pesa kutokana na kushikiliwa kwake, unafikiri ni kwa nini wameona wayamalize kwa mazungumzo badala ya kutushtaki kama vile wakili msoni kuliko wote Tanzania na Rais wa TLS alivyosema kuwa kesi haitamaliza hata nusu saa serikali yetu itakuwa chali?
 
Back
Top Bottom