DOKEZO Usumbufu wa kupata likizo HAI DC hasa idara ya Afya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje.

Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka nichukue likizo January ambapo nitakuwa ninefanya kazi miezi 13 bila likizo.

Je, ni haki!?
 
Back
Top Bottom