Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Jamani huyu Influenza mwacheni, uelewa wake ni wa uzito wa maji ya kifuu. Ivi wee hujui kwanini vitabu karibu vyote duniani vinatolewa kwa version tofauti inayokuwa improved with time changes? Sasa jiulize ikiwa vitabu vya dini vitatoka katika version tofauti, ni kamati gani hiyo ya maprofesa watakaoketi na kutoa hiyo version mpya? then kasome ikiwa kuna mtume yoyote aliyekuja na kitabu kimoja chenye version tofautitofauti, badala yake utakuta version moja ya mtume fulani tena wale wateule tuu! hee, jama nyie hizi akili za kule ma-university huwa mnapeleka wapi mnapojadili baadhi ya mambo.Najua Mwislam wa ukweli hawezi kukubali kwamba bible na quran ni vitabu vyenye asili tofauti kwani,Kiasi waislam wanaamini kwamba biblia ni neno halisi la mungu ila limechakachuliwa,akikubali kwamba asili ya quran na biblia ni tofauti automatically atakuwa amesema quran haikutokana na MUNGU,hapo ndo penye utata,kama haikutoka kwa MUNGU imetoka kwa nani ? Hivyo waislam watakomaa na tafiti fake kuthibitisha kuwa aliye mpa ujumbe Mohamad ni yeye yule aliyempa MOSES,DANIEL,ISAYA,YESU et al.vinginevyo uislam na quran yake hauwezi kuwa na mshiko.maana Issa bin mariam atabaki issa bin mariam atakuwa hana uzito kwani hataitwa Yesu.
Ukisoma quran na biblia ukaamini kwamba vyote ni ujumbe toka asili moja,utakuwa unanishurutisha nikufulu kwamba mtoa ujumbe alikuwa ni kigeugeu au mlevi mimi SITAKI kufikishwa huko.HAIWEZEKANI HUKU ASEMA +VE na HUKU ASEME-VE kwa jambo lile lile. QURAN NA BIBLIA vina asili tofauti upende usipende.