Igunga Special Photos

Mkuu asante kutujuza kwa habari picha.
Mkuu wasi wasi wangu ni turn up ya wana Igunga kwenda kupiga kura tarehe 2 Oct.!
Tumeona mambo haya ya umati mkubwa wa watu kufurika sana ktk kampeini nyingi hata ktk uchaguzi mkuu iliopita (2010).
To make matters worse kuna huyu mdudu "kuchakachua" kwa huyu "Mchakachuaji "wetu wa siku zote.
Lets wait ans see.
 
binafsi nitawakusanya vijana katika network ya maombi ili tuyatafute mapenzi ya Mungu kwe huu uchaguzi, ninaimani na Mungu, huu ni wakati wa watanzania kurejeshewa vyao vilivyokuwa vimetekwa kwa Muda mrefu, jamani Watz tunahaki ya kumwambia Mungu hatuwataki hawa mafisadi waendelee kututawala naye atatuokoa kwa mkono mkuu, kwa nguvu zetu hatutaweza. na pia tusiwasahau wapiganaji wote Mungu awazidishie hekima maarifa nguvu na mbinu za kuweza kuwafungua wenzetu wa igunga wajue njia ya kuifuata.
 
Hii ni kuudhihirishia UMMA WA WATANZANIA NA DUNIA YOTE KUWA Chadema ni chama cha watu na watu wenyewe ndio hao tunaowaona kwenye picha hizi.

Iwapo ITATOKEA CCM WAKASHINDA UCHAGUZI HUU BASI WIZI WA KURA WA HALI YA JUU NA UCHAKACHUAJI UTAKUWA UMETUMIKA KUIBEBA CCM. Na iwapo UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA HAKI BILA WIZI AU UCAHAKACHUAJI NI DHAHIRI JIMBO LA IGUNGA LITACHUKULIWA NA CHADEMA.

Naomba Wanachadema wote watakaokuwa Igunga siku ya Tarehe 2 Oktoba kuwa macho na MAJAMBAZI YA CCM YATAKAYOKUWA TAYARI KUNYAKUA,KUIBA MASANDUKU YA KURA NYINGI ZA CHADEMA NA KUZICHAKACHUA ILI CCM WASHINDE.
 
Kweleakwelea Mungu akutangulie maana Igunga imevuta hisia za watu tofauti na mtazamo wa awali. Kuna kitu kipo behind the scene, noamba uchaguzi uende kwa amani na watu wajitokeze ili tuweze kuona matunda ya demokrasia na si uchachuaji.

Nina wasiwasi kama kweli CCM watakubali kuachia jimbo la Igunga hata kama hawatapata moja ya nane ya kura zote zitakazopigwa!!!! Wamejiandaa hilo jimbo libaki lao hata kama ni kwa kumwaga damu!!!!!

Tusubiri tuone.

Tiba
 
mlioko nyumbani naomba kujua kama zile helkopta za wezi zimefika maana nimesoma leo magazetini nikaona kuwa zilishidwa kutua.....
 
leo tumefanya mikutano sita kwenye kata sita na chopa,pamoja na chopa tumeendelea na mikutano ya ndani,kimsingi tunashambulia kote kote
Mkuu tumekusoma kazi kwa kwenda mbele ila wahamasishe vijana wetu wasitumie jaziba watumie busara, ushindi ni wa uhakika Igunga CHADEMA JUUUUU!!!!!!!!!!!!
 
Wengi wamejitokeza kuishangaa helikopta. Majority ni watoto wa shule na watoto wadogo. Bila shaka karibu wote hawapo kwenye daftari la wapiga kura.

Ni mshangao tu kwa kwenda mbele halafu siku ya uchaguzi unabaki mshangao wa idadi ya kura.
Umetishika nini, Naona macho yako hayaoni vizuri vaa miwani!!!!!!!!!!!!
 
Mambo mawili muhimu zaidi..
1. Kati ya hawa wote ni wangapi wana kadi za kupiga kura?
2. Ni wangapi kati yao wataenda kupiga kura!

That's what count!
 
Mambo mawili muhimu zaidi..
1. Kati ya hawa wote ni wangapi wana kadi za kupiga kura?
2. Ni wangapi kati yao wataenda kupiga kura!

That's what count!
Bwana mkandara jibu utalipata Jumapili sio mbali kazi kwako!!!!!!!!!!!!
 
Kaka Nanyaro,
Pamoja na idadi kubwa ya watu wanaohudhuria mikutano ya Chadema, lakini kwangu naona bado haijaihakikishia Chadema ushindi. Kama alivyosema kaka yangu Mwanakijiji katika moja ya michango yake leo hii, Chadema inatakiwa ihakikishe watu wanatoka kwenda piga kura kwa wingi saana and then kuzilinda kura hizo. Tena mhakikishe wale wote wanaoisapoti Chadema wajitokeze mapema saana saa kumi na moja alfajiri wawe kwenye mistari ili ikiwezekana hadi saa sita mchana wawe wote wameshapiga kura, nje ya hapo ushindi ni ndoto!!!!
 
Mimi nimefarijika sana na picha hizi kwasababu naona vijana sasa wameamua!! kule kwa Chama Cha Magamba naona ni vikongwe watupu kama walivyo wapiga kampeni wao.CDM oyee!!
 
Back
Top Bottom