Igunga Special Photos

Tuombe tu Amani itawale mpaka siku ya uchaguzi na hata wakati wa kutangaza matokeo. Nina wasi wasi kwamba hizi picha zitawachochea wale jamaa waanze kuzungusha vifaru huko Igunga. Kama walianza kuonyesha Bastola kule mwanzo kabisa sasa watapanda kwenye majukwaa na Maroketi. Washindwe na Walegee!
kwa jna la yusu wameshaanza kulegea hao
 
Uchaguzi wa Igunga na Matokeo yake ndiyo Dira ya uhakika either kwa kifo cha Magamba au kuendelea kuishi ICU...Ila Chadema kikiteka tuu....Walaaaaaahhh Magamba waanze kutafuta njia ya kupitia...Peopleeeeeesss...
 
nawaombea sana wananchi wa Igunga Mwenyezi Mungu awalinde, awape hekima na busara ya kufanya maamuzi yatakayoleta mabadiliko na kuwatoa katika hali waliyo nayo na kuonja asali!
 
Tuwakumbuke na wanachi wakuu!

1676ss7.jpg
 
Wengi wamejitokeza kuishangaa helikopta. Majority ni watoto wa shule na watoto wadogo. Bila shaka karibu wote hawapo kwenye daftari la wapiga kura.

Ni mshangao tu kwa kwenda mbele halafu siku ya uchaguzi unabaki mshangao wa idadi ya kura.
 
leo tumefanya mikutano sita kwenye kata sita na chopa,pamoja na chopa tumeendelea na mikutano ya ndani,kimsingi tunashambulia kote kote
Mkuu msiache kuwapa salamu zetu sisi tulio ulimwengu wa nje ya Igunga. Waambieni umuhimu wao ni kama mtu aliyepewa fedha iliyobaki ndani kwenda kununua dawa za mgonjwa mahututi. Hakuna anayetegemea mtu huyo kuacha kununua dawa na kupigia ugimbi pesa hizo maana anahatarisha uhai wa mgonjwa. Nao Igunga wasiwaangushe WaTZ
 
Eee Mwenyezi Mungu uwafunulie maono watu wa Igunga,ili watambue juu ya magamba yanvyosababisha maisha magumu na hivyo uwajalie uelewa na afya,amani na wajitokeze kupiga kura siku ya Jpili na kuichagua Chadema,Tazama CCM na Magamba yanavyotesa watu na kuwafanya daraja la kupatia fedha,angalia ahadi zao za kila siku ambzo hazitekelezeki,angalia wizi wa mali ya umma,ufisadi wa kila aina na kila mahali,hivi kweli wana Igunga mtayachagua haya magamba?
Makamanda wote wa Chadema mlioko Igunga tunawaombea kwa Mungu msonge mbele kwa mafanikio,na hukuna kulala mpaka kieleweke.Tuko pamoja na endeleeeni kutuhabarisha kila kinachotokea
 
allah (s.w) wape baraka zako wana igunga, wape baraka zako chadema.
 
Wasiwasi wangu, na pengine kila mtu anayependa democrasia ya kweli, ni kwamba daftari la kupiga kura haliko sawasawa. tangu mwaka jkana halijawa updated kuingiza wale vijana walifikia miaka 18 katika kipindi cha miezi 12 iliyopita. Kwa hesaby za haraka haraka hawa wanafikia karibu 10,000. Hawa wote ni CDM kwa sabababu CCM imeshindwa kabisa kuwapa hjata matumaini isipokuwa umachinga.

pia kuna waliokufa ambao idadi yao ni kama 5,000. Kwa ujumla nyie mtaona tu, badala ya wapiga kura 171,000, watakaopiga kura itakuwa chini ya 40,000, na majina ya watu wengi yatakuwa hayapo kwenye orodha. NEC kimakusudi tu wanaweka majina siki 4 hivi kabla ya kupiga kura ili watu wasipate nafasi ya kurekebisha hali hiyo.

Kama CDM itashindwa, basi ni usimamizi mbovu wa NEC.
 
sijaziona picha but I bet that is agood news to hear. CHADEMA oyeeeeeeeeeee. P.power .......................
 
Najaribu kuwaza, kutatokea nini chaguzi kama hizi zikifanyika kama kumi hivi kila baada ya miezi minne!
 
Wengi wamejitokeza kuishangaa helikopta. Majority ni watoto wa shule na watoto wadogo. Bila shaka karibu wote hawapo kwenye daftari la wapiga kura.

Ni mshangao tu kwa kwenda mbele halafu siku ya uchaguzi unabaki mshangao wa idadi ya kura.


Na hii hapa wanashangaa nini tehe tehe tehe maji ya shingo kwa magamba

mo-560x373.jpg


11-533x400.jpg

5-533x400.jpg

3-533x400.jpg

2-533x400.jpg
 
Hili jamvi ndo ninacholipendea, saafi saana kwani hata TBC na ITV wakijifanya hawana picha za mikutano ya kampeni za CHADEMA, hapa jamvini zinapatikana, asante saana,VIVA CHADEMA , FREEDOM IS COMING TOMORROW!!
 
Back
Top Bottom