Igunga: Kuichagua CCM sio kuikomoa CHADEMA

KIDESELA

Senior Member
Sep 26, 2011
149
91
Poleni sana msiojitambua mlio katika mawazo ya karne ya 12 eti kuikomoa cdm kwa ajili ya mkuu wa wilaya mwizi ni kuikomoa CDM mnajikomoa wenyewe na family zenu,watoto wenu na ndugu zenu kazi kwenu! CCM mabingwa wa ahadi za kichina! Feki
 
wale wanadrasa janga la kimikoa wametumiwa vya kutosha. watapoteana pala ccm watapo cmamisha mkristo wataona matamko yote yamekwisha.
 
Back
Top Bottom