Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,367
Kampeni ni strategy. CHADEMA ilishamaliza kazi ya kwanza ya kuwasha moto wa ufisadi ambao ndio uliopelekea jimbo kuwa wazi, ELEWA HAPA.....jimbo kuwa wazi ni kazi ya CHADEMA, moto uliowashwa pale mwembeyanga.Kama tunaelewa hivyo, kumshinikiza aende mnatafuta cha kuandika humu akizomewa au kurushiwa mawe? Labda niulize kama alivyouliza Mwanakijiji. Mbona CHADEMA hawamtaji RA kuwa alikuwa fisadi na kwamba ufisadi wake ndio umesababisha kadhia yote hii ya uchaguzi mdogo? Au Dr Slaa anakuwa na nguvu hizo akiwa MwembeYanga tu?!