Pierreeppah
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 1,563
- 1,974
Nilikoma kusafiri usiku pàle arushà tulipowàkuta waliotekwa wamesimama barabarani wakiwa uchi kabisà huku wakiomba msaada. Kwanza tulidhàn ni kundi la waçhawi, wanawake wanene wakiwa hawana nguo wanatisha sana