IGP Sirro, nakutaarifu Dar na Arusha si salama kwa safari za usiku

Igp kazi yake ni kufunga mjadala wa lissu kupigwa risasi na kukamata maadmin wa whatsapp wanaoshare post za mange kimambi.

Majambazi hayamuhusu pambaneni na hali zenu.
Sikuja kukamata majambazi nimekuja kuwatumikia watanzania wanyonge
(Sizonje's voice)
 
Kusafiri Usiku Ni Kujitakia Wenyewe
C22IahHWIAAD5zY.jpg
 
kutembea usiku bana kuna raha yake moro dar dakika 80 hapo unapepea 190-197kph
warning never try this...kuna semi zinatembea vibaya barabara ya chalinze kimra ni mbaya sana kosa dogo tu jina lako linabadlika na kuwa marehemu
speeding kills
...

kuna polisi nilikutana nao mchana nikiwa 195 hata hawakunisimamisha
nimetembea sana usiku, sijawahi kutana na hao watu ila siku tukikutana basi ila sitakubalikirahisi
 
ujue hadi pale unapokubali kulala chini hilo ni kosa tayari ila ukimkata huyo huyo na shotgun na ilivyo na mikelele lazima wengine wakimbie ... kazi kwako kutoa magogo na kukimbia
Mkuu husiongee kirahisi hivyo ukafikiri ni movie za Hollywood. Yani gogo/jiwe lililobebwa na watu 2 likawekwa barabarani wewe ulibebe au kuliondoa kama unasogeza kiatu uvunguni mwa kitanda chako. Jaribu kuwa serious kidogo basi.
 
kwani kwenye gari usiku unatembea bila backup..... kweli usiku utembee mwenyewe hauko serious
 
kwani kwenye gari usiku unatembea bila backup..... kweli usiku utembee mwenyewe hauko serious
Mi mara nyingi nakuwa mwenyewe, na nashukuru Mungu sijawahi kutana na masahibu hayo zaidi ya kutekwa kwenye basi 2004.
 
Igp kazi yake ni kufunga mjadala wa lissu kupigwa risasi na kukamata maadmin wa whatsapp wanaoshare post za mange kimambi.

Majambazi hayamuhusu pambaneni na hali zenu.
Sikuja kukamata majambazi nimekuja kuwatumikia watanzania wanyonge
(Sizonje's voice)
hapa ndio tunapokosea
 
Haikusaidii chochote mzee.sababu huwezi chomoa machine wakati hujui wako wanngapi .ukisema unachomoa machine wao wanakuona na wanakumaliza faster. So usijaribu hata Siku moja kwa kuokoa maisha yako.wakikuwahi we fuata maelekezo tu
Ni mbinu nyepesi tu mimi nlipita barabara ya bagamoyo msata pale daraja la ruvu kwa mbele nkakuta fuso 3 zimetekwa....mwenzangu akapanic nikamwambia tulia subiri watoke vichakani ndio tudeal nao kweli wakaja zaidi ya watu 7 na mapanga hpo mimi nasubiria tu nimtoe ubongo atakae sogea dirisha lagari,mwenzangu akafyatua kabla hawajafikia gari ndio watu kutokomea vichakani
 
Hii inatisha sana hasa nikifikiria jana tu nimesafiri usiku Dar to Dodoma kuanzia saa 12jioni nimefika saa 7usiku. Nimeogopa sasa nitasafiri mchana tu
 
Back
Top Bottom