IGP Said Mwema kushitakiwa ICC

Kama kawaida, nilikuwa napata masimulizi ya hapa na pale katika saluni – na nilisimuliwa jinsi mama daktari wa kujitolea mgiriki alivyofariki dunia, jijini Dar, chanzo na mtiririko wa matukio.Hii ni simulizi na si habari iliyothibitishwa. Kwa kifupi mama huyu mgiriki alikuwa anatembea Ali Hassan Mwinyi Road na vibaka walipita na gari na kuvuta begi lake la mgongoni (back pack) na kumburuza mita kadhaa na gari. Hatimaye walichukua begin a kumwacha huyu mama. Sehemu hii imethibitishwa – ni kweli ilitokea. Ila sasa nilichoendelea kusimuliwa ni kuwa wagiriki wenzake walihangaika tokea saa 12jioni hadi saa 2 usiku wakijaribu kupata form ya polisi – kwani bila hiyo fomu hupokelewi hospitalini. Walifika hospitali ya Aga Khan saa 2 lakini pamoja na kujitahidi kwa madaktari wenzake wagiriki (ambao waliamua kuingia katika harakati za kumwokoa) lakini mama huyu alifariki.Katika simulizi hii yote kilichonisikitisha ni kuwa mtu anapopata ajali ni lazima apate fomu ya polisi kabla ya kutibiwa! Hii si sawa! Nimewahi kushauriwa na polisi afisa mmoja na hata leo saluni walinishauri "Ukikuta mtu kagongwa barabarani, usihangaike kusimama. Utasumbuliwa na unaweza ukakuta kesi inakugeuka" Hii haiingi akilini! Hivi kweli tumefikia hatua ya kuacha binadamu wenzetu wakivuja damu barabarani kwa sababu ya sheria mbovu? Hivi kweli tumeshindwa kushinikiza bunge, serikali nk kwamba sheria hii ibadilishwe! Mtu ambaye amepatwa na ajali hata awe mhalifu ana haki ya kupata huduma ya kwanza! Na mtu yeyote asibugudhiwe atakampomfikisha mtu aliyejeruhiwa hospitalini, bali waendelee kuchukua maelezo yake huku mgonjwa akiendelea kupata huduma ya kwanza. Okoa maisha kwanza! Suala hili mi binafsi nitalifuatilia lakini naamini ni jukumu letu sote kuhakikisha sheria hii inafutwa na badala yake uwekwe utaratibu mzuri ambao utathamini maisha ya mwananchi wa Tanzania, kuliko kesi ya polisi. Sheria hii ni mbovu na inapaswa kupigwa vita kwasababu watanzania wengi wamepoteza uhai wao kwasababu ya sheria hii... nashauri mwanasheria mkuu,i.g.p na viongozi wote mkae chini muitafakari upya hii sheria bila sivyo TUTAWASHITAKI DEN HAAG UHOLANZI

Kichwa cha habari na body ya habari haviwiani. Hakuna paragraph ambayo umeonyesha shtaka hilo isipokuwa sentensi ya mwisho unayojaribu kushauri. Maudhui ya habari yako yanahusu kuchelewesha karatasi ya polisi kuhusu matibabu ya ajali wala havihusiani na kichwa cha habari.
 
I thought your giving me a thoughtful night that this man is on the way to the hague already kumbe bado, sawasawa nimekupata, something seriously need to be done to Tanzanians brains to wake up si mpaka afe mzungu bwana, kwani mzungu ni nani si binadamu kama ndugu zetu wengi wanavyopoteza maisha, mimi natamani Tanzania mpya yenye kuweza kusema ndio panapohitajika ndio na hapana panapohitajika hapana.
 
hiyo sheria ya police form number 3(pf3) ilisha badilishwa tangu mwaka jana. Sema jeshi la polisi halijatoa elimu kwa maskari wao. ukipata jeraha au maumivu unaenda hospital moja kwa moja bila kupitia polisi na baada ya kupata mafuu ndo anaenda kutoa taarifa polisi. Serikali yetu haifanyi kazi ipaswavyo kutoa elimu ya uraia ndo maana mambo yote haya hutokea. mia
 
Kama kawaida, nilikuwa napata masimulizi ya hapa na pale katika saluni – na nilisimuliwa jinsi mama daktari wa kujitolea mgiriki alivyofariki dunia, jijini Dar, chanzo na mtiririko wa matukio.Hii ni simulizi na si habari iliyothibitishwa. Kwa kifupi mama huyu mgiriki alikuwa anatembea Ali Hassan Mwinyi Road na vibaka walipita na gari na kuvuta begi lake la mgongoni (back pack) na kumburuza mita kadhaa na gari. Hatimaye walichukua begin a kumwacha huyu mama. Sehemu hii imethibitishwa – ni kweli ilitokea. Ila sasa nilichoendelea kusimuliwa ni kuwa wagiriki wenzake walihangaika tokea saa 12jioni hadi saa 2 usiku wakijaribu kupata form ya polisi – kwani bila hiyo fomu hupokelewi hospitalini. Walifika hospitali ya Aga Khan saa 2 lakini pamoja na kujitahidi kwa madaktari wenzake wagiriki (ambao waliamua kuingia katika harakati za kumwokoa) lakini mama huyu alifariki.Katika simulizi hii yote kilichonisikitisha ni kuwa mtu anapopata ajali ni lazima apate fomu ya polisi kabla ya kutibiwa! Hii si sawa! Nimewahi kushauriwa na polisi afisa mmoja na hata leo saluni walinishauri “Ukikuta mtu kagongwa barabarani, usihangaike kusimama. Utasumbuliwa na unaweza ukakuta kesi inakugeuka” Hii haiingi akilini! Hivi kweli tumefikia hatua ya kuacha binadamu wenzetu wakivuja damu barabarani kwa sababu ya sheria mbovu? Hivi kweli tumeshindwa kushinikiza bunge, serikali nk kwamba sheria hii ibadilishwe! Mtu ambaye amepatwa na ajali hata awe mhalifu ana haki ya kupata huduma ya kwanza! Na mtu yeyote asibugudhiwe atakampomfikisha mtu aliyejeruhiwa hospitalini, bali waendelee kuchukua maelezo yake huku mgonjwa akiendelea kupata huduma ya kwanza. Okoa maisha kwanza! Suala hili mi binafsi nitalifuatilia lakini naamini ni jukumu letu sote kuhakikisha sheria hii inafutwa na badala yake uwekwe utaratibu mzuri ambao utathamini maisha ya mwananchi wa Tanzania, kuliko kesi ya polisi. Sheria hii ni mbovu na inapaswa kupigwa vita kwasababu watanzania wengi wamepoteza uhai wao kwasababu ya sheria hii... nashauri mwanasheria mkuu,i.g.p na viongozi wote mkae chini muitafakari upya hii sheria bila sivyo TUTAWASHITAKI DEN HAAG UHOLANZI

Leo mkuu umechemka kweli! Habari yako ni taarifa inayopaswa kufanyia kazi. Lakini kichwa cha habari na taarifa havihusiani! Kwa hili vipi mwema ashitakiwe, kwa nini usingesema ashitakiwe kwa mauaji yanayomhusu moja kwa moja Kama yale a Arusha, moro na ya mwangosi- RIP all.
 
hiyo sheria ya police form number 3(pf3) ilisha badilishwa tangu mwaka jana. Sema jeshi la polisi halijatoa elimu kwa maskari wao. ukipata jeraha au maumivu unaenda hospital moja kwa moja bila kupitia polisi na baada ya kupata mafuu ndo anaenda kutoa taarifa polisi. Serikali yetu haifanyi kazi ipaswavyo kutoa elimu ya uraia ndo maana mambo yote haya hutokea. mia

Mkuu nami nipe msaada. sheria ilibadilishwa mwaka jana? Bunge lipi??
 
Mods mko wapi, thread za hivi si mziweke kapuni? Zinatupotezea muda. Watu tunaingia humu ku gain halaf m2 anakuja na mvuke na mnamuacha tu, vp bana? Nipeni uwezo wa kuwa ban wa2 muone kama kutakuwa na mchezo. Jukwaa litawaka moto.
 
ulishaambiwa ukiona kitu hakifai bonyeza hapo report post au abuse. mia
 
Tuwe wapole zaidi. Tutafute zaidi contents katika mada, uwezo wa kuandika vizuri siyo wote wanao, kwahiyo tuvumiliane na kupeana ushauri kistaarabu. Ningeshukuru sana kama mchangiaji mmoja angeichukua hii habari na haswa kwa kutambua kuwa inahusu tukio la kweli na la aibu kwa Taifa letu na kuiandika vizuri zaidi, huenda na kuongeza mifano mingine kuiboresha ili hata aliyeandika ajue hili ni jukwaa la watu wanowakubali wenzao.
Tafadhali onyesha uvumilivu wako kwa asiye na uwezo sawa na wako.
Asante sana.
 
we kweli "wawekataa". heading na habari yenyewe tofauti. hebu edit your heading.
 
Kama kawaida, nilikuwa napata masimulizi ya hapa na pale katika saluni – na nilisimuliwa jinsi mama daktari wa kujitolea mgiriki alivyofariki dunia, jijini Dar, chanzo na mtiririko wa matukio.Hii ni simulizi na si habari iliyothibitishwa. Kwa kifupi mama huyu mgiriki alikuwa anatembea Ali Hassan Mwinyi Road na vibaka walipita na gari na kuvuta begi lake la mgongoni (back pack) na kumburuza mita kadhaa na gari. Hatimaye walichukua begin a kumwacha huyu mama. Sehemu hii imethibitishwa – ni kweli ilitokea. Ila sasa nilichoendelea kusimuliwa ni kuwa wagiriki wenzake walihangaika tokea saa 12jioni hadi saa 2 usiku wakijaribu kupata form ya polisi – kwani bila hiyo fomu hupokelewi hospitalini. Walifika hospitali ya Aga Khan saa 2 lakini pamoja na kujitahidi kwa madaktari wenzake wagiriki (ambao waliamua kuingia katika harakati za kumwokoa) lakini mama huyu alifariki.Katika simulizi hii yote kilichonisikitisha ni kuwa mtu anapopata ajali ni lazima apate fomu ya polisi kabla ya kutibiwa! Hii si sawa! Nimewahi kushauriwa na polisi afisa mmoja na hata leo saluni walinishauri “Ukikuta mtu kagongwa barabarani, usihangaike kusimama. Utasumbuliwa na unaweza ukakuta kesi inakugeuka” Hii haiingi akilini! Hivi kweli tumefikia hatua ya kuacha binadamu wenzetu wakivuja damu barabarani kwa sababu ya sheria mbovu? Hivi kweli tumeshindwa kushinikiza bunge, serikali nk kwamba sheria hii ibadilishwe! Mtu ambaye amepatwa na ajali hata awe mhalifu ana haki ya kupata huduma ya kwanza! Na mtu yeyote asibugudhiwe atakampomfikisha mtu aliyejeruhiwa hospitalini, bali waendelee kuchukua maelezo yake huku mgonjwa akiendelea kupata huduma ya kwanza. Okoa maisha kwanza! Suala hili mi binafsi nitalifuatilia lakini naamini ni jukumu letu sote kuhakikisha sheria hii inafutwa na badala yake uwekwe utaratibu mzuri ambao utathamini maisha ya mwananchi wa Tanzania, kuliko kesi ya polisi. Sheria hii ni mbovu na inapaswa kupigwa vita kwasababu watanzania wengi wamepoteza uhai wao kwasababu ya sheria hii... nashauri mwanasheria mkuu,i.g.p na viongozi wote mkae chini muitafakari upya hii sheria bila sivyo TUTAWASHITAKI DEN HAAG UHOLANZI

sasa IJP ashtakiwe kwa lipi?
1. kwa vibaka kumvamia dk. mgiriki?
2. Kwa polisi kutotoa PF3 haraka?
3. Kwa kifo cha mgiriki?
4. Kwa sheria mbovu za Tanzania?
 
Back
Top Bottom