IGP Mwema kuna kila sababu ya kutueleze Watanzania kama Jeshi la polisi liko hivi??????

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Unyama bado unaendelea anaepigwa kijana ambaye ni mwanafunzi kulikuwa na sababu gani ya polisi kutumia nguvu namna hii


Kikwete na Mwema mtueleze watanzania nn kinaendelea katika Jeshi letu hasa polisi sababu ya matatizo haya hata kipofu anaona ni tatizo TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAA polisi.jpg
 
ona wanavyomshindilia mabuti akifa wanaipiga maiti risasi halafu wanasema wameua jambazi yanamwisho haya.
 
mleta mada kuwa little professional. Ni lini, ni wapi, kulikuwa na nini ni baadhi ya mambo yanayotakiwa, sio kutoa matamko tu. Inawezekana picha hiyo ni wakati wa mahita, hatujui, au wa mahundi hatujui. fafanua taarifa yako kutuweka sawa.
 
Back
Top Bottom