sio kila anaekuja humu ametumwa, na sio wote humu tunatumika kisiasa. Haya ni maoni binafsi na kama tutakubaliana kwa kila jambo linalo letwa humu jf basi hakutakuwa na sababu ya kuja humu.
unajua kuna vitu viko wazi kabisa hata kwa mtoto wa drasa la 3 picha zimeonyesha uhalisia . Na hata mahojiano kati ya waandishi na marpc utaona ni jinsi gani walivyokuwa wanajijanyaga kuhusu hili la mwangosi
any way michango yako mingi nimeisoma ni ya kutetea hawa wakandamizaji wa demokrasia