IGP Chonde chonde ujinga huu usitokee Mbeya!!

Maandamano yamefanyika Lindi, Mtwara, Hata morogoro!! Baada ya maandamno Amani Inatawala!! sasa Kulikoni Mnayaogopa Hadi Aibu?
 
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

ujue katiba mkuu kazi ya polisi nikutoa ulinzi kwenye mikutano na maandamano, Kuandika barua nikuomba ulinzi kwa polisi na si kuomba ruhusa ya kufanya mikutano! kulikuwa na ulazima gani polisi kuua? kulikuwa na hatari gani hakika nakuhakikishia dhambi hii kama ccm chama changu kitaizika ndo mwisho wetu, UDAHIFU WA JK HUU! anadhani wanapomwambia awe mkali nikuua!
 
Sawa. Lakini tatizo huko ccm hakuna watu wala binadamu wenye akili ili waweze kurudi nyuma katika wazimu wao wa kuua wananchi.

Inavyoonyesha sehemu kubwa ya wanachama na viongozi wa ccm wanawakilishwa kwa mifano hapa jukwaani na akina FF, Majebere, Tume ya Katiba, (Ritz na Rejao), Ecoli et al. Ukiondoa Ritz, wengine wao waliochangia walitetea na kufanya dhihaka na siasa chafu kwa kifo cha marehemu Mwangosi. Too low and very pathetic at best!

Je unakumbuka Mukama alivyoingiza upuuzi kwenye msiba wa hayati Mzee Bob Makani? Unakumbuka jinsi Nape na wasaidizi wake walivyojaribu kuchakachua tukio la Dr. Ulimboka? UNakumbuka Shigella alivyofanya tukio la majuzi la kuuawa kijana muuza magazeti Morogoro? Chagonja na Polisi wake juu ya mauaji ya Mwangosi?......just in nutshell

Ukitaka kutubu ni vema ukatubia yote, siyo selective sins. Uhalifu wa ccm na polisi wake tokea Arusha mpaka hapo Iringa ni vema ikawekwa bayana na ktk kumbukumbu sahihi.

Sio tu kuwa ccm inachukiwa bali watu hawana imani na chochote chenye mkono wa ccm. Wametufikisha hapa so wacha tumalizie hii ngema. Shame on ccm. Shame on everyone who condons these political assassinations/killings/eliminations for whatever end or form/gain.
 
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

Kichwa chako sio kizur unaumwa na ujinga
 
Nina hakika hata Mkuu wa Mkoa atawekwa chini ya ulinzi na makamanda!
 
Sasa si fanyeni mambo yenu bila kupitia kwa RPC ndio mtaelewa nini nasema. Lazima ruhusa ya polisi na hilo linajulikana wazi.

Wenzio wamesema uweke hako kasheria hapa tukaone, siyo kusema LINAJULIKANA WAZI, Lipi linalojulikana wazi ? Kwani kujulikana wazi ni sheria ?
 
We jifariji na hayo maneno lakini utatulia tu, hii ndio bongo, Slaa alikataa kumtambua JK kama Rais,Slaa alisema hana imani na polisi na hawezi kukaa nao, Slaa alisema liwale na liwe mikutano itaendelea.
Leo yuko wapi? Amekula matapishi yake na amefyata mkia.

Sasa jiulize kama alie watuma amerudi rivasi je nyie mnaotumwa si mtakimbia kabisa?

usilolijua ni kama usiku wa giza.hata yule chizi wa pale darajani mlalakuwa,anatambua wanavyo mpigia magoti ya kutaka muafaka.

Ibada ya kumuombea marehemu inamalizika ,tunaanza kuaga mwili wa mpendwa wetu.soon and very soon we are going to have the changes.
 
Masopakyindi kama umejitambua ondoka huko uliko , Serikali ya CCM h ni kampuni ya mauaji na kama ulivyosema jana kwenye thread yako ya jana wanyakyusa ndio asusa ya Kikwete ana hasira nao na unaambiwa yeye visasi ni dira yeyote mwenye jina la mwa na mtoka Tukuyu ,mbeya lazima afe au atiwe kilema cha maisha ,
 
mwandosya - mwakyembe - ulimboka - mwagosi

:shetani:
Unawaona madevil au unataka kutuambia nini ukweli ni kwamba Tangu Mwandosya alipokataa mpango wa wizi wa kampuni ya IPTL walipokuwa wizara ya nishati pamoja miaka hiyo basi Kikwete yeye na wanyakyusa paka na panya analipiza kisasi na amri yake ni eliminate him
 
usilolijua ni kama usiku wa giza.hata yule chizi wa pale darajani mlalakuwa,anatambua wanavyo mpigia magoti ya kutaka muafaka.

Ibada ya kumuombea marehemu inamalizika ,tunaanza kuaga mwili wa mpendwa wetu.soon and very soon we are going to have the changes.

Hapo penye wekundu naisubiri kwa hamu hiyo siku na muda na kwa kuwa mungu yu pamoja nasi basi nadhani muda hautakuwa mrefu sana!
 
Police department has demonstrated the highest level of impunity and disregard of human rights. It requires a total overhault to regain the demaged country's human rights ranking.
 
muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya rpc, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya rpc na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

kwanza nampa pole mwanzisha uzi huu anaeomba nguvu isitumike mbeya.
Lkn namkumbusha tu hawa wanaoumizwa na huu ukandamizaji wa utu wengi wao ni watu wa mbeya mfano pr.mwaikusa,dr.mwakyembe,dr.ulimboka na sasa mwangosi
nafikiri kama ni beeping imeshafanyika ilichobaki ni kuwapigia tu.
Na pili kwako wewe majebere aka mahindi sijajua ka ma umetumwa na hawa wakandamizaji wa haki au ni mawazo yako binafsi nakuomba unijuze
 
usilolijua ni kama usiku wa giza.hata yule chizi wa pale darajani mlalakuwa,anatambua wanavyo mpigia magoti ya kutaka muafaka.

Ibada ya kumuombea marehemu inamalizika ,tunaanza kuaga mwili wa mpendwa wetu.soon and very soon we are going to have the changes.
Nakubaliana na wewe, usilolijua ni kama usiku wa giza, pamoja na kuwa uko karibu na mzee slaa lakini inavyo onekana kuna mengi yanakupita au yeye pia hayajui. Itakuja siku utayajua na mimi nitakuwepo kuwakumbusha.
 
kwanza nampa pole mwanzisha uzi huu anaeomba nguvu isitumike mbeya.
Lkn namkumbusha tu hawa wanaoumizwa na huu ukandamizaji wa utu wengi wao ni watu wa mbeya mfano pr.mwaikusa,dr.mwakyembe,dr.ulimboka na sasa mwangosi
nafikiri kama ni beeping imeshafanyika ilichobaki ni kuwapigia tu.
Na pili kwako wewe majebere aka mahindi sijajua ka ma umetumwa na hawa wakandamizaji wa haki au ni mawazo yako binafsi nakuomba unijuze
Sio kila anaekuja humu ametumwa, na sio wote humu tunatumika kisiasa. Haya ni maoni binafsi na kama tutakubaliana kwa kila jambo linalo letwa humu JF basi hakutakuwa na sababu ya kuja humu.
 
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

Sarcasm at its best. I guess you must really be yearning for a police state!
 
Chuki zote za JK ni Mwandosya na jamaaa zake, Ngoja CDM wafike huko mbeya, Policcm wataua mamia ya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom