Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,406
- 12,634
Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee
Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja.
Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya pande zote mbili kwa pamoja.
Nieleze tu kwa uwazi tu, sisi wanaume swala la kutafuta mpenz huwa ni jambo la kila siku..
Tunahisia sana tuonapo mwanamke mzuri na mwenye maneno mazuri mdomoni,
Wengine wetu wanaume sex hututoa mawazo na kutupa furaha.
Nieleze kwa kifupi nipendavyo mimi..
1. Imani.
Kwanza nataka mwanamke anae jiamini na kuniamin, kukosekana kwa imani kumekua mwiba sana katika mahusiano yangu.
nasema hivi kwa sababu mwanamke usipo jiamin na siku ukimuona bwana ako anaongea na binti mrembo mwingine lazina itakuumiza na mwisho kuleta magomvi.
2. Hisia.
hisia zangu kwa mwanamke niliye mchagua niya kiwango cha kutosha, mwanzo lazima sex iwe kila siku, show show hadi basiii
then tukizoeana sasa.. tutakua tuna skip some days lakin romance ni daily, kiufupi mimi siwezi kumaliza siku sijamla denda demu wangu.
3. Upambanaji kiuchumi.
binafsi siwezi kukaa na mwanamke mvivu, kila unachomwambia kufanya kabla hajajaribu utashangaa anakwambia siwezi.
Ni hayo tu wana Jukwaa nimeeleza hivi kwa kifupi kwa kitaja mazuri yanayotakiwa kufanywa na nisiongelee sana udhaifu uko vipi,
mwisho wa siku nikaonekana nimekuja hapa kutoa machambo.
Shetani kawaalibu sana dada zetu kupitia makanisa ya uwongo, mafuta na lotion za Kuzimu hawana tena usichana wao,
unakuta mwanamke niwa baridi hata uchape fimbo vip, sasa nani ataowa wa hivo?
mwanamke unasex dakika 10 unamwambia mumeo umechoka, sasa unataka yeye akamalizie wapi hisia zake.
Mwanamke unamtongoza, anakubali na unaanza kumhudumia kifedha nawe ukitaka mapenz kwake, lakini utachezewa akili bila kuambulia hata busu hadi ukome, sometimes hadi nakua na jazba kila mwanamke ninae mtongoza nakua nawaza labda ndo wale wale, unakua unajiuliza hata nikitoa pesa yangu, huyu kiumbe anahisia na mimi kweli.
Ila yote tisa, kumi wenye haki hupatana mala moja one day Yes.