Ifike hatua haya Mabango ya Rais Samia yaondolewe

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,398
9,681
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.

Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.

Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa, bango Moja Bei yake si chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.

Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani halafu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu, eti wamepatana, nonsense.

Haya Mabango nchi mzima hayana maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile? Tumieni tovuti ya CCM. Kuna deal za watu tuu lazima.

#Watuwemawamefiwa
 
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.

Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.

Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake ai chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.

Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.

Haya Mabango nchi mzima haya maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile? Kuna deal za watu tuu lazima

#Watuwemawamefiwa
Ccm wamefimefikia kiwango cha mwisho kufikiri. Matatizo ni mengi yanayo wakabili watu. Wameamua kuwaaminisha watu kuwa kila jambo jema ktk nchi hii likifanyika ujue kuwa ni rais kalifanya. Ila likitokea jambo baya rais hausuki huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge.
 
Kibwaguzo cha mwisho kiko murua kabisa
 
Ccm wamefimefikia kiwango cha mwisho kufikiri. Matatizo ni mengi yanayo wakabili watu. Wameamua kuwaaminisha watu kuwa kila jambo jema ktk nchi hii likifanyika ujue kuwa ni rais kalifanya. Ila likitokea jambo baya rais hausuki huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge.
nimependa hii
 
jambo hili linaniumizaga saana Mimi unakuta huna mtaji hata wa 20m. ila unakutana mamibango. nchi nzima

mfano. tuna halimashauri 138 Kila halimashauri Bango 500
maana yake. 238x500= 69000

chukua bango 69000x1000000=69000000000

bilioni 690 yaani zinaweza kulipa bima ya afya nchi nzima. na kujenga maisha yawatu kuwa rahisi. badala yakuweka tozo unapunguza mzigo Kwa watu tupaze sauti tuwakabili wahuni walanchi.
 
Yaani..hii ni deal la watu kupiga pesa.
 
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.

Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.

Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake si chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.

Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.

Haya Mabango nchi mzima hayana maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile?. Tumieni tovuti ya CCM. Kuna deal za watu tuu lazima

#Watuwemawamefiwa
Morogoro road kuna mabango zaidi ya 20… nilijiuliza yamewekwa usiku wa tarehe 30/4/23 au lini? kuna moja lilisema “ameongeza salary kwa wafanya kazi”
 
Dahhh!!Hii nchi tajiri sana au basi.
 
Morogoro road kuna mabango zaidi ya 20… nilijiuliza yamewekwa usiku wa tarehe 30/4/23 au lini? kuna moja lilisema “ameongeza salary kwa wafanya kazi”
Ni shidaaaa.

Badae wataleta TOZO kali sana.
 
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.

Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.

Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake si chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.

Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.

Haya Mabango nchi mzima hayana maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile?. Tumieni tovuti ya CCM. Kuna deal za watu tuu lazima

#Watuwemawamefiwa
Hayo Mabollion yalitoka wapi na nani ameyapitisha . Nasikia bango moja linagharim 5m= sasa wakitengeneza 100 tu
5000000x 100
 
Ccm wamefimefikia kiwango cha mwisho kufikiri. Matatizo ni mengi yanayo wakabili watu. Wameamua kuwaaminisha watu kuwa kila jambo jema ktk nchi hii likifanyika ujue kuwa ni rais kalifanya. Ila likitokea jambo baya rais hausuki huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge.
Utasikia mawziri hawamsaidii rais
Mara raisi hashauriwi vizuri
 
jambo hili linaniumizaga saana Mimi unakuta huna mtaji hata wa 20m. ila unakutana mamibango. nchi nzima

mfano. tuna halimashauri 138 Kila halimashauri Bango 500
maana yake. 238x500= 69000

chukua bango 69000x1000000=69000000000

bilioni 690 yaani zinaweza kulipa bima ya afya nchi nzima. na kujenga maisha yawatu kuwa rahisi. badala yakuweka tozo unapunguza mzigo Kwa watu tupaze sauti tuwakabili wahuni walanchi.
Huko ndo ccm wanakotajirikia .halafu akitokea mtu akatoa huu ujinga KAMA jpm wanasarfocate kwa kuwa hawawezi kuishi kwa jasho Lao
 
Back
Top Bottom