JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,464
- 9,764
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa, bango Moja Bei yake si chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.
Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani halafu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu, eti wamepatana, nonsense.
Haya Mabango nchi mzima hayana maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile? Tumieni tovuti ya CCM. Kuna deal za watu tuu lazima.
#Watuwemawamefiwa