njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,665
HONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
Anaitwa Shishimbi box to boxJe timu ipi ya wadada yenye warembo?View attachment 2385899
Ngoja waje haters
Wakikomaa champions league huko moroco wanaingia top 5 naamini watafanya vizuriSimba Funiko La Chuma ,kote kote
dah aisee dada kiuhalisi anavuta bangi balaa sio kwa sura ya kazi namna hii..Je timu ipi ya wadada yenye warembo?View attachment 2385899
Midfield kishetiJe timu ipi ya wadada yenye warembo?View attachment 2385899
Hao vihiga rank mpya ikitoka hutowaona tena, na ata simba utawaona wako 4 hukoHONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
View attachment 2385849