Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Kuna watu wanaongea kwa machuuungu kujaribu kuonesha kuwa Kikwete kafanya jambo la maana saaana kwenda msibani. Hivi kuna msiba ambao kikwete haendi? Hebu muacheni jamani, hata na yeye anachoka kukaa magogoni na tausi bila kazi yeyote na ukizingatia tusafari twa nje wenyeji wamemchoka. Bora alivyoenda zake Moro kusafisha macho

Noo Mkuu,Washika masikio wamemtonya Hotuba/Mialiko kwenye majanga na misiba itamuweka jirani na kupunguza gape ya chuki kwa WATANGANYIKA
 
I understand your concern Pasco.

However kule siasa kuna mtu kaja na hii, kama sawa na yako ila sijaipitia vyema bado, sijui nayo itaungwa humu ama vipi.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/213632-dk-slaa-ampiga-chenga-jk-msibani.html

Thanks. Hakuna mwana jf yoyote aliewaza angalau kwa nini Jk amehudhuria maziko!? Wengi wanadhani ni kuhudhuria tuu maziko ya Regia!. There are more to that than met the eye!. Nondo nzito hizi kuzihamishia chit chat ni udhalilishaji!.
 
Thanks. Hakuna mwana jf yoyote aliewaza angalau kwa nini Jk amehudhuria maziko!? Wengi wanadhani ni kuhudhuria tuu maziko ya Regia!. There are more to that than met the eye!. Nondo nzito hizi kuzihamishia chit chat ni udhalilishaji!.

Tuwaze mara ngapi ikiwa hakuna mwezi ambao hakuhudhuria msiba. Ni wa balali tu ndio hakwenda.
 
@Pasco
Mbona siku hizi unaleta mambo mezani kisha ukitikisiwa kiodogo unanaadika kauli au dhana yangu nimeifuta. Usiwe mwoga wa kusimamia unachoamini la sivyo jitahidi uwe makini na uchambuzi wako wa mambo.Haya mambo ya kuta futa yatakufany uonekane mbabaishaji na wengine ndio tutasema............

Sasa kama wewe ndio kidogo unajua ABC za unadishi uko hivi sisi wengine .

Kituko kigine ukaandika kuhusu michango ya wana JF ya msiba wa RM ........... Badilika Aisee........

Yaani thread zako kwenye huu msiba wa Regia . Nikichanganya na comment zako za EL mhhh.

Na hii ya EL nayo unasubiriwa ufute kauli zako.
teh teh teh
Zing, inawezekana ndio kuchanganyikiwa kwenyewe huku na kufiwa!. Mimi ni binadamu na Regia binadamu huwezi jua!.
 
Pasco,

Wewe unaweza kuona post yako niya jukwaa la siasa wengine tukaona ni stahiki ya jukwaa la soga. Good job Mod!
 
Mimi nadhani JK ndo alitakiwa kumfuata na kumsalimia Slaa sababu yeye ni Katibu mkuu wa CHADEMA ambacho ndio kimepatwa na msiba wa mwanachama na kiongozi wake. Kwa utaratibu wa Kiafrika ukienda kuhani msiba wewe ndo unawatafuta wafiwa na kuwasalimia sio mfiwa akutafute wewe!

Well said!
 
kama dr. Slaa uliota utakuwa rais wa tanzania bs ndoto zako ni sawa na ndoto za babu wa samunge,, Hasira za nn? Hv huyu anaweza kuwa kiongozi kweli?,, cjawahi kusikia upinzani wa kipumbavu kama huu hata kwenye jambo kama hili la msiba watu wanaojiita viongozi wanashindwa kuonesha njia, Hv wewe slaa hata ukijilinganisha na dr. Kikwete ninani ambaye watanzania walikuwa na ndotonae za kuja kuwa rais wao? Wewe c umeibuka tuu kutoka kusikojulikana na kuja kuwadanganya watu hapa ni mtetezi, kwa mwendo huu ukipewa ridhaa na watanzania utasalimia hata jirani wa baba yako waliekosana nae huko kijijini kwenu? Hufai utabaki na magwanda yako mpaka cku ya kufa kwako wewe.
 
Back
Top Bottom