Idrisa abadili mawazo. Hatojiuzulu tena

Hivi KADA MPINZANI unajua kuna watu mnaookaka harafu mnakuwa walokole kuliko makasisi mmliowakuta. Unajua nafuatilia sana mada zako humu, I TRURLLY RESPECT your contributions and intelect. Lakina what puzzles me wewe inaonekana umekuwa msemaji mkuu wa CCM kuliko Makamba ambaye analipwa kodi zetu kufanya hiyo kazi(na wewe unaweza kuwa unalipwa, mi sijui, ila hata kama basi Makamba is your BOSS) lakini you are killing the atmosphere of legitimate debate especially when it comes to put the governement to account! Maana mtu akiongea anything to do with serikali wewe unaona kama vile hii serikali hatuipendi na tunaichukia! au wote ni wanachadema (nothing wrong with that either)

Do you know kwamba JK alipigiwa kura na wengi wetu humu? au unafikiri ni makada kama wewe mlipiga kura kumchagua tuu (Infact wengine hawajawahi hata kupiga kura-sijui wewe uko kundi lipi) Kwa hiyo tuna HAKI NA WAJIBU wa kumkosoa kadri tunavyotaka! Tulimchagua sisi, much as na wewe una hiyo haki ya kuitetea system, lakini its a gross error, we kuona kwamba whoever is critiquing the governemnt is against it! ITS WRONG!

Me personally Iam not against the governement of JK or him personally but Iam against the actions of his ministers, politicians and technocrats who are plundering our country with impunity and yet the man we gave responsibility to arrest the situation is busy smiling! in such a situation siwezi kumlaumu KARAMAGI, NAMLAUMU ALIYEMPA KAZI NA KUMLINDA PALE ALIPO! So my friend, get life and know that this man was elected by most of US and I and others have legitimate exectations from him to do well for our country! If you are on the other side of the fence (again there is nothing wrong with that either) Please relax so that WE voters can demand accountability from the man we gave trust.

Democrasi ni kutofautiana, but we should do so with humility and respect. Not every body is upinzani kichama, ila wengi tuko upinzani kisera na kimatendo!

Weeekend njema na tuendelee kukataa issues!
 
narudia tena kwa mara nyingine, sifahamiani na kiongozi yoyote wa cham chochote, sio ccm wala wapinzani ! ASANTE KWA PROPS, lakini pia vile vile sijui watu waliompigia kura JK nadhani hayo hayanihusu, kama natetea sana CCM well thats tooo late kwa wale waliokuwa hapa forum nilipokuwa napiga kelele za kuacha kuthamini mambo ya vyama na tuangalie manufaa ya taifa wataelewa, nilipiga sana hizi kelele na bahati mbaya hatukuweza kunegotiate hivyo ilibidi nibebe hamsini zangu na walioamua kuendeleza mambo ya vyama vyao wamebeba hamsini zao ! by the way ilikuwa mada ndeeefu mno, so i cant go back explaining everything again !

silipwi na chama chochote humu, sifahamiani na kiongozi yoyote wa chama, taifa, dini, mpira wa miguu wala nini !

what i really was against ni serikali ya kikwete hii iliyopo madarakani, lakini vile vile mbali na lawama kuna sehemu nyingine JK na serikali walikuwa hawafanyiwi haki humu ndani ya forum na wengi wakiwa wakimtupia madongo na kumshambulia hata pale alipokuwa hastahili kushambuliwa, na KAMWE hakupewa pongezi pale alipostahili, jambo ambalo lilichukua muda mrefu sana kwangu mimi kugundua hivyo ! nikasema "TULICHOKUWA" tunafanya was not fair, lakini watu wakaendelea kumuongelea vibaya kikwete na serikali yake, huku wengine wakiraidi kwenye vyama vya siasa vya upinzani, GUESS WHAT HAPPENED NEXT ?? nilipingana kihoja na hawa watu since then wakaanza kuniita ccm na kunivisha uCCM, NA UNAJUA NINI ? sikukataa, ndivyo hadi hivi leo kila mtu anasema mimi ni ccm, lakini kama watu wanakasirika kwa jinsi ninavyotetea ninachoamini basi awalaumu hao walionijenga kuwa hivyo !

SASA NYINGINE HUMU MATATIZO YANAWEZA YASIWE SERIKALI YETU KAMA WENGI WANAVYOJUA, ILA KILA MTU HAPA JAMBOFORUM ANAJIONA MJUAJI NA KUANZA KUPIKA HABARI ZISIZO NA VICHWA WALA MIGUU !!
 
mwe.. ujiko mwingine mzito kweli.. "nilikuwa peke yangu napiga kelele watu wawe fair"... ndio maana nikakupa pongezi kwa kazi ngumu.
 
Huyu jamaa mimi nadhani Mh. Rais atakuwa kampigia simu kumuomba aahirishe uamuzi wake wa kujiuzuru ili kuipunguzia serikali aibu... maana kwa kipindi hiki kifupi serikali ina matatizo mengi sana....
 
Hivi KADA MPINZANI unajua kuna watu mnaookaka harafu mnakuwa walokole kuliko makasisi mmliowakuta. Unajua nafuatilia sana mada zako humu, I TRURLLY RESPECT your contributions and intelect. Lakina what puzzles me wewe inaonekana umekuwa msemaji mkuu wa CCM kuliko Makamba ambaye analipwa kodi zetu kufanya hiyo kazi(na wewe unaweza kuwa unalipwa, mi sijui, ila hata kama basi Makamba is your BOSS) lakini you are killing the atmosphere of legitimate debate especially when it comes to put the governement to account! Maana mtu akiongea anything to do with serikali wewe unaona kama vile hii serikali hatuipendi na tunaichukia! au wote ni wanachadema (nothing wrong with that either)

Do you know kwamba JK alipigiwa kura na wengi wetu humu? au unafikiri ni makada kama wewe mlipiga kura kumchagua tuu (Infact wengine hawajawahi hata kupiga kura-sijui wewe uko kundi lipi) Kwa hiyo tuna HAKI NA WAJIBU wa kumkosoa kadri tunavyotaka! Tulimchagua sisi, much as na wewe una hiyo haki ya kuitetea system, lakini its a gross error, we kuona kwamba whoever is critiquing the governemnt is against it! ITS WRONG!
Me personally Iam not against the governement of JK or him personally but Iam against the actions of his ministers, politicians and technocrats who are plundering our country with impunity and yet the man we gave responsibility to arrest the situation is busy smiling! in such a situation siwezi kumlaumu KARAMAGI, NAMLAUMU ALIYEMPA KAZI NA KUMLINDA PALE ALIPO! So my friend, get life and know that this man was elected by most of US and I and others have legitimate exectations from him to do well for our country! If you are on the other side of the fence (again there is nothing wrong with that either) Please relax so that WE voters can demand accountability from the man we gave trust.

Democrasi ni kutofautiana, but we should do so with humility and respect. Not every body is upinzani kichama, ila wengi tuko upinzani kisera na kimatendo!

Weeekend njema na tuendelee kukataa issues!

(a)- Mtu akiichukia hii serikali au asiichukie mie i could care less maana ndio uraia huo, i dont hold the government, i dont benefit from it, i dont pay taxes, i dont use its services and so forth. so kwa mtu anayeilalamikia serikali hii akiwa analipa taxes kwa nini nisimpe uhuru wa kusema anachofeel ? hapo kwa kweli nitakuwa simtendei huyo mtu haki, halafu AM NOT EVEN SUPERIOR mimi kumzuia mtu kuongea anachojiskia kuhusu serikali, AM NOT ONE OF THOSE PEOPLE WANAOJIONA WANAWEZA KUKALIPIA VIONGOZI WA DINI, VIOGNOZI WA SERIKALI, am wayyyy under that for me to do so, KUPIGA KELELE NA KUONGEA MANENO YA AJABU HAYALETI MAENDELEO !

(b)- kwa kweli sijui alipigiwa kura na nani na wala sidhani kama itanisaidia nikijua UKIANGALIA kwamba upigaji wa kura ni siri, so hata mtu akisema alimpigia JK, na mwengine akisema hakumpigia I WONT BELIEVE NONE OF THAT !

(c)-hapo ningekushauri kama ungeuliza nini maana ya jina KadaMpinzani: nadhani ungeelewa zaidi kuhusu my whole intentions za kujiunga JF.

(d)VIZURI SANA KAMA MNAYO KILA HAKI YA KUMKOSOA JK NA SERIKALI YAKE, LAKINI NIKUULIZE NDUGU, UNADHANI KATIKA UKOSOAJI WAKO/WENU UNATEGEMEA KILA MTU AKU/WAUNGE MKONO KUMKOSOA ? WENGINE NAJUA HAWATOKUWA PAMOJA NA WEWE/NYIE KATIKA KUMKOSOA JK NA SERIKALI YAKE KWA SABABU ZAO MAALUM, JE MPO TAYARI KUWAPA HAKI ZAO HAO AMBAO HAWATAKUWA PAMOJA NA NYIE KUMKOSOA JK ?? Mfano, wengi hunilalamikia mimi binafsi kwa kuiunga serikali, na wengine hata kuniita majina, JE UNADHANI HAPO HAKI NATENDEWA ??

(e) ukiona mtu anacriticise serikali halafu mie naona wrong, then take it as my personal view, lakini wengi humu utasikia CCM hao, sasa na watu wanakuwa brain-washed kwa kuchafu jina la chama, kila kasema Kada lakini watu wanarukia chama tawala, unadhani haki inatendeka, and i promise you as long as they will do that, the more i will stand still believeing what i believe in and matter of fact i will step up and upgrade myself to even a higher level !

(f) VIZURI SANA KWAMBA UPO AGAINST NA ACTIONS ZA MAWAZIRI WA SERIKALI HII, LAKINI UNADHANI WATU WENGI HUMU FORUM WANAFIKIRI HIVYO UNAVYOFIKIRI ?? AKIKOSEA WAZIRI TU THE FIRST SH*T YOU ARE GOING TO HEAR IS CCM HAO, SASA CCM NA HAO MAWAZIRI WAPI NA WAPI ??

(g) UHURU NA HAKI ULIYONAYO KUPIGA KURA MWAKA 2005 NA MIE NILIKUWA NAYO VILE VILE, SIO WEWE TU ULIYEMPIGIA KURA, HATA MIMI NILIMPIGIA KURA NI KWELI NILIMPIGIA JK AND OF COURSE I DO EXPECT SOMETHINGS I JUST DIDNT VOTE FOR HIM LIKE THAT, LAKINI WATU WANATAKA KUTAKE ADVANTAGE YA MAWAZIRI(SERIKALI) NA KISHA KUKIPAKA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MATOPE, HAPO NDIPO SIKUBALIANI NAO HADI KESHO NA NITAKESHA NAO KWA HILO !

(h) WHAT DO YOU MEAN WHEN YOU SAID YOU VOTERS CAN VOTE ? KWANI MIE SIO MPIGA KURA ? NINA HAKI SAWA KAMA WEWE ULIVYO NAZO HIZO HAKI ! KUMBUKA AM JUST A REGULAR CITIZEN LIKE YOU, SIFAIDIKI NA MADINI, KASHESHE LA UMEME NALIPATA KAMA UNAVYOLIPATA WEWE, LAKINI WATU LAZIMA WAELEWE TOFAUTI YA VYAMA NA SERIKALI, AND THIS IS A DIRTY GAME BEING PLAYED HERE AT JAMBOFORUMS ! kila kitu ccm !

(i)MBONA MARA NYINGI KAMA KWELI DEMOCRASIA NI KUTOFAUTIANA, MNANISHIKA SHATI PALE NINAPOPINGANA NA WATU ??

(j) hayo masuala yalikupeleka upinzani mkuu kwa kweli i really didnt have to know them !

WKEND NJEMA ! TENA NAONA THIS IS A LONGGGGGGGGGG WKEND !
 
mwe.. ujiko mwingine mzito kweli.. "nilikuwa peke yangu napiga kelele watu wawe fair"... ndio maana nikakupa pongezi kwa kazi ngumu.

hayo ni maneno yako ! sitaki ujiko wala uspoon ! amini unavyoamini ! wewe siku zoooote unaona makosa ya watu tu, mazuri yao huoni !
 
Sasas hii nayo kali. Mimi naona hii ni kama chezea toto! Ametingisha kiberiti na kilipoanza kuwaka kakizima ghafla. Ukijiuzuru position ni kwamba unafanya hivyo mara nyingi si kwa uzuri, inaweza ikawa ni kwasababu ya shutuma juu yako na unataka kupisha vyombo husika kufanya uchunguzi, pili yaweza kuwa ni kukimbia madhambi, tatu yaweza kuwa ni kutoelewana na wenzako katika nafasi unayofanya kazi na hii hasa ndio ilimuhusu huyu Bwaba Idris. Alichotakiwa kufanya kwanza ni kujulisha umma kwa nini amejiuzuru. Na kama amerudi tena kwenye hiyo nafasi basi bado ana wajibu wa kueleza tatizo lilikuwa nini na kwa nini ameamua kurudi...yaani limekuwa solved vipi? Namna hii ndio unajenga utamaduni wa uaminifu kwa wananchi. Sio tu tukae tunasikia kwa chinichini....no, tunataka tamko kutoka kwake bwana Idrisa.
 
Huyu mheshimiwa kapeleka barua ya kujiuzulu kwa mheshimiwa rais, labda mheshimiwa rais amekataa...Mbona ni kitu cha kawaida kabisa
 
Huyu jamaa mimi nadhani Mh. Rais atakuwa kampigia simu kumuomba aahirishe uamuzi wake wa kujiuzuru ili kuipunguzia serikali aibu... maana kwa kipindi hiki kifupi serikali ina matatizo mengi sana....

Well said, na ndivyo ilivyokuwa. Hata mimi ningekuwa JK ningefanya hivyo hivyo. Isitoshe barua ya kujiuzulu inapelekwa kwa rais kwa sababu MD wa TANESCO ni Presidential appointee.

Kama rais kamwita Dr Idris na kumuuliza kulikoni, na akaona Dr yuko sawa katika msimamo wake, basi rais yuko sawa kumshauri abadili uamuzi wake na abaki TANESCO kwa manufaa ya taifa. Siasa hazitakiwi kwenye mambo ya kitaalamu, hapo ndipo watanzania huwa tunakwama.
 
sema wewe wakuelewe mzee !nikisema mie kada naongea sana !
 
Wakati anaelezea sababu za kupandisha bei ya umeme, moja ya sababu kubwa ilikuwa ni mapato ya TANESCO KWA MWAKA JANA, almost 70% yalitumika kuilipa IPTL. Wakati huohuo, Serikali imesitisha ruzuku kwa TANESCO. The only way out was to raise tarrifs.

Kifupi, alichokuwa akiiambia serikali ni uhalali wa shirika hilo kuilipa IPTL kwa mkataba usio na faida or, in other words, serikali ibebe mzigo wake!
 
hayo ni maneno yako ! sitaki ujiko wala uspoon ! amini unavyoamini ! wewe siku zoooote unaona makosa ya watu tu, mazuri yao huoni !

Kada Mpinzani,
My signature is here to support you. Tuwe wakweli na waadilifu tuipongeze serikali kwa mazuri inayofanya na tuikosoe na kuonyesha njia ya kweli na yenye tija kwa faida yetu sote.
Keep it up Kada!
 
Wakati anaelezea sababu za kupandisha bei ya umeme, moja ya sababu kubwa ilikuwa ni mapato ya TANESCO KWA MWAKA JANA, almost 70% yalitumika kuilipa IPTL. Wakati huohuo, Serikali imesitisha ruzuku kwa TANESCO. The only way out was to raise tarrifs.

Kifupi, alichokuwa akiiambia serikali ni uhalali wa shirika hilo kuilipa IPTL kwa mkataba usio na faida or, in other words, serikali ibebe mzigo wake!

....na hao hao waliohusika na hii bogus ya IPTL bado wanakata mitaa na sijawahi kusikia hata mtu moja achunguzwe au kuchukuliwa sheria na hiyo haikutosha tukaenda tena tukaweka Richmond,kweli watu wana mzaha sana ile nchi!
 
Mh! I am seeing flip flopping sasa! Kama unajiuzulu, jiuzulu. Hii kusema Rais amemwomba.. is very weak argument. Kabla ya kuweka hadharani kujiuzulu kwako na kuitangaza kwa media, inatakiwa ukamwone mwajiri wako umweleze lengo lako la kujiuzulu. Atanegotiate then you take public action. Leave or stay.
Dr Idris is a blackmailer and people like that fail. He threw a tantrum politically, kwani hakufanikiwa to get his way. Huwezi kufanya kazi hivyo. Kama umeshindwa na umeamua kujiuzulu, BYEBYE!
Kama alikuwa na lengo la kuthreaten ajue this will not work always.... this is not professional, not politics but the tactics of a weak person.
 
....huyu fala aende tuu na hana lolote la maana katika records zake kuanzia BOT mpaka Bank binafsi.
 
Karamagi ashtuka kujiuzulu kwa Dk. Rashid

na Prisca Nsemwa

WAZIRI wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi, ameeleza kushitushwa kwake na taarifa za kujiuzulu kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Idris Rashid.
Amesema uamuzi wa Dk. Rashid umeishutua serikali na atakutana naye kujua kama ameufikia baada ya kupata shinikizo kutoka kwa mtu au kikundi cha watu au ni uamuzi wake mwenyewe.

Karamagi aliyasema hayo jana baada ya kufungua warsha ya wadau wa mafuta nchini iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Mafuta ya Petroli (TPDC), ili kupata maoni kuhusu mkakati wa TPDC wa kuanza kuchimba mafuta ya petrol nchini kwa kufanya utafiti katika mikoa matatu.

"Uamuzi wa Dk. Rashid umenishtua, ninapanga kumuita nizungumze naye, ili nijue kama kujiuzulu kwake kumetokana na uamuzi wake binafsi au amepata shinikizo kutoka sehemu nyingine yoyote," alisisitiza Karamagi.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Dk. Rashid alitangaza kujiuzulu kutokana na kukabiliwa na upinzani mkali kwenye mkakati wa Tanesco wa kupandisha gharama za uunganishaji umeme na uniti majumbani na viwandani.

Hatua ya mwisho iliyomfanya ajiuzulu, imeelezwa kuwa ni baada ya kugongana na Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Balozi Fulgence Kazaura kuhusu uamuzi huo, ambako balozi huyo baada ya mvutano alikaririwa akimweleza Dk. Rashid kama hawezi kubadili msimamo ajiuzulu nafasi hiyo.

Hata hivyo, Tanzania Daima ilipotaka kufahamu sababu za Dk. Rashid kwa kumpigia simu, alijibu kwa ufupi; 'No Comments'. Aidha, alikanusha sababu za kujiuzulu kwake zilizoandikwa kwenye vyombo vya habari jana.

Waziri Karamagi akizungumzia suala la upandaji wa mafuta ya petroli nchini, alisema TPDC itekeleze mapendekezo ambayo Ewura iliyatoa ya kuwataka wafanyabiashara wa mafuta kuagiza kwa wingi, ili kuweza kupunguza bei.

"Wakiagiza mafuta mengi lazima bei itapungua, kwahiyo tutaweza kuyatunza na bei itakuwa ni nafuu, lakini kutokana na wafanyabiashara kuagiza mafuta kidogo, inachangia kupanda kwa bei ya petroli," alisema Karamagi.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Yana Kilagane, alisema mkakati wao ukiwezeshwa ili shirika hilo liweze kutafuta mafuta kwa wingi nchini, itasaidia kupungua kwa bei ya mafuta ya petroli.

Alisema mkakati huo utakwenda sambamba na kufanya utafiti katika maeneo ambayo wanatarajia kuchimba mafuta kuwa ni sehemu za pwani, eneo lenye kina kirefu na bonde la ufa.

"Mkakati huu ukiwezeshwa bei ya mafuta inaweza kupungua kutokana na kuwepo kwa mafuta mengi, mafuta yakiwa mengi bei itapungua na uchumi utakua na nchi itaokoa fedha nyingi," alisema Kilagane.

Pia alisema mkakati huo unahitaj kuwezeshwa kwa kiasi kikubwa, na itakuwa ni vigumu kueleza ni kiasi gani ambacho kinatakiwa, hadi serikali ifikie uamuzi wa kukubali ombi hilo la kuwawezesha kutafuta mafuta.

Kilagane alisema TPDC inaiomba serikali sehemu ya pato la gesi iweze kuiachia ili itumike kuendesha shirika na kuwekeza kwenye miradi ya gesi iliyopo kwa kuwa pato lote lililokuwa likipatikana lilikuwa linakwenda serikalini.

Hata hivyo, Mkurugenzi wa Masoko wa TPDC, Dismas Fuko alieleza kuwa mpango wa kutumia nishati ya gesi utawawezesha Watanzania kuokoa kiasi kikubwa cha fedha wanachokitumia kununua mkaa.

"Kama gesi nayo ikipatikana kwa wingi, nchi itaokoa kiasi kikubwa kwa kuwa kila Mtanzania anatakiwa atumie nishati hii ambayo ni rahisi na inaweza kusambazwa kote nchini," alieleza Fuko.

Wadau hao kutoka mashirika na wizara mbalimbali, walitoa maoni mbalimbali ili kuuwezesha mkakati huo ambao utasaidia kupungua kwa bei ya mafuta nchini ambapo utawasilishwa katika Baraza la Mawaziri.
 
Kuna namna nyingi za kujiuzuru

Kama unaona hapa huna maslahi kabisa unaomba kujiuzuru kwa kutokutoa sababu ambazo zinaweza kuwa solved na bosi wako ktk barua.

Kama unataka baadhi ya mambo yarekebishwe kwa kujiuzuru kwako ndipo unaandika sababu zote zilizo kufanya ujihuzuru ili pengine bosi wako aweze kurekebisa kama mshahara duni, working conditions, mahusiano nk

Sasa kama Dr Idris alitoa sababu na kama bosi wake amekubaliana na sababu hizo na kuahidi kurekebisha basi kurudi kwake kazini si mbaya. ndivyo ilivyo.

Ingawa sina uhakika lakini naamini alitoa sababu za kujiuzuru kwake.
 
Waziri wa Nishati alimsihi na kumuomba abadilishe uamuzi wake wa kujiuzuru, may be kaamua kamsikiliza bosi wake.

Lakini hapaswi kusema ilikuwa ni uvumi, anachotakiwa ni kusema tu kwamba amebadilisha uamuzi
 
Lakini labda niulize huyu jamaa amewahi kushika madaraka makubwa sana kwenye nchi hii... Gavana wa BOT halafu baadaye kuajiriwa kwenye normal Bank kwangu mimi ni demotion... alitakiwa afungue firm yake awe anaisimamia sio kuajiriwa.. Amekuwa MD wa Vodacom hakuweza kufanya cha maana ilikuwa tuu ni juhudi za R.A kuonyesha kuwa na sisi wabongo tunaweza. ila aliprove failure mapema mno.. kwa sasa Meneja mkubwa Tanesco hakuna cha maana kinachofanyika huko.. aliwahi kusema kuwaondoa vishoka sio rahisi (Failure)

Mawazo yako ni kwa watu wabinafsi, wenye uchu wa kipatato na mamlaka, na wale wajinga tu!! Watu wenye uzalendo na kama lengo ni kutumikia taifa demotion yako haina maana ndio maana wayahudu waziri mkuu (Mkuu wa nnji) leo, kesho ni waziri wa kawaida!!!

YA MUSSA YANAKUSHINDA UTAYAWEZA YA FIRAUNI?
 
Bila kutaka kupoteza maana/maudhui ya mjadala, just for a light touch.....

Watu wanaowafahamu Wa-Kush, kama tulivyowaita shuleni (from word Cushites)ni watu ambao hawatabiriki. Ni very intelligent (generally kwa niliowaona), wana misimamo mikali most of the times, wepesi kubadilika, na wako very united - hii ni kutokana na uchache wao (sio ajabu hata hii issue ya kujiuzulu ilikuwa discussed kwanza).

Kuthibitisha haya natoa mifano michache:-
-Chief Sarwat - mtu pekee aliyejitoa TANU na kugombea as independent;
-Marmo na Qares kwa hoja zao nzito bungeni - enzi zile. Walikuwa kidete kwenye G-55;
-Sumaye na fight yake against mtandao almost singlehandedly.

Hivyo basi, hili la Dr. Idris naliona kwa mtazamo huohuo.
 
Back
Top Bottom