Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Times change...wakati wa sasa kazi za kijasusi zinadai watu wenye uwezo na upeo mkubwa sana wa kuzifanya na kuiletea nchi yoyote heshima.
Mkiweka watu wajinga wajinga kila siku mtaishia kupata kashfa tu. Hii idara inaajiri watu wa aina gani siku hizi? kama hawa mapoyoyo tunao waona mitaani ndio wamejaa kila sehemu mbona kazi ipo. Mtaandika haya matangazo mpaka mchanganyikiwe