Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

Status
Not open for further replies.
Tunatakiwa kuwa werevu, tujue kwamba mtandao huu unasimamiwa na sheria za Marekani ilikokampuni ambayo JF imesajiliwa. Mhusika na mtandao huu wa JF pengine anajua zaidi kuliko tunavyofikiri kwa vile sisi tunajua tu ni mradi mtandao mtu ujiandikie utakavyobila kufuta maadili, miiko, sheria na kanuni ambazo mtandao huu umeridhia vinginevyo utabatilishwa.

Kama mtandao huu ungekuwa unasimamiwa na sheria za Tanzania na kampuni provider ni ya Tanzania, hapo tungekwua kuru kufanya tutakavyo kwa maana kwamba sheria zetu haziko wazi kuhusu mitandao.

Candid Scope, what is the message you want to give us here? Tuogope kusema ukweli kwamba kama tukiendelea hivi hatutafika mahala popote? Usalama umenajisiwa na tamaa binafsi,wizi na ufujaji wa mali ya umma kwa vigezo vya kuwa na access na sehemu zote za Tanzania halafu mnataka tuendelee kukaa kimya kama hatuhusiki?tamsaidia nani sasa mwosho wa siku? Feedback is the food for the champions...tunataka kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Hizi kashfa zinaturudisha sana nyuma na ukiangalia kwa makini ni kwasababu usalama wameacha kuwa professionals. Wameamua kuside na wanasiasa wenye tamaa ya mali na madaraka tu.
 
Namsifu Saed Kubenea maana ameamua kusign kwa damu yake matokeo ya habari ile aliyoitoa kwa undani na kwa ufasaha kabisa. Imewaacha idara nyeti uchi...nategemea Pasco atatueleza ile thread yake ya conspirancy theory aliyoiandika ilitoka wapi maana alianza kwa haraka haraka na papara akasahau kila kitu kikubwa kinataka muda kujipambanua.
Binafsi sina tatizo na uwepo wa idara hii maana kama nchi tunaihitaji...tatizo linakuja kama itatumiwa vibaya kulinda maslahi ya watu wachache wenye matatizo ya kushindwa kutimiza wajibu na kuishia kuitumia idara kutishia watu bila sababu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom