nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 997
- 828
Kwa mtazamo wangu kipindi cha Power Breakfast kilichopo Clouds FM ndio kipindi chenye gharama kubwa za uendeshaji kuliko kipindi chochote cha Redio hapa Tanzania.
Idadi ya Watangazaji wa kipindi cha Power Breakfast, Clouds FM, sawa na idadi ya Watangazaji wanaotangaza katika vipindi vya siku nzima kwenye vituo vingine vya Redio hapa Tanzania.
Kuna baadhi ya Redio zinawatangazaji idadi yake isiyozidi watano kuanzia asubuhi hadi usiku, kutokana na mfumo waliojiwekea katika kuendesha vipindi, kuna baadhi vinarekodiwa kabla ya kwenda hewani.
Pia kwa idadi ya Watangazaji na Watayarishaji wa kipindi cha Power Breakfast (PB) kwa msisitizo, ni sawa na idadi ya Wafanyakazi wote kwenye baadhi ya vituo vya Redio kuanzia Boss hadi Mlinzi, nazungumzia idadi kumaanisha wingi.
Mpaka leo Februari 15 2022 idadi ya Watangazaji na Watayarishaji wa kipindi cha Power Breakfast kinachotangazwa na Clouds Fm kuanzia saa 11:00 alfajiri hadi saa 4:00 asubuhi ni kama ifuatavyo.
Babra, Masoud, Sizza, (habari mchanganyiko) Sasali, (anachimba habari) Khan, (vichwa vya habari) Fetty, (chombeza) Mwihavwa, (pop in au kupiga simu) Da 1/4, (kazi ni kazi) Bonge, (wazee wa fear) Matona, Issa, Sophia, (wote biashara) kuna Mtozi mmoja " producer " jina nimelisahau, bado kipengele cha michezo ndani ya PB Dauda, Lwambano, mmoja nimemsahau (wote michezo).