Wana JF kwa mujibu wa taarifa ya habari ya redio one leo ni kuwa Tanzania ina magari 1,200,000. Je habari hizi ni za kweli? kama ni hivyo basi watanzania wanao miliki magari ni wachache sana kulinganisha na idadi ya watu 44 milioni. Nasema hivi kwa sababu idadi hiyo inajumuisha magari ya serikali na mashirika ya umma na ya watu binasfi, lakini pia kuna baadhi ya watanzia wana miliki zaidi ya gari 1