Idadi ya magari Tanzania

nlambaa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
362
60
Wana JF kwa mujibu wa taarifa ya habari ya redio one leo ni kuwa Tanzania ina magari 1,200,000. Je habari hizi ni za kweli? kama ni hivyo basi watanzania wanao miliki magari ni wachache sana kulinganisha na idadi ya watu 44 milioni. Nasema hivi kwa sababu idadi hiyo inajumuisha magari ya serikali na mashirika ya umma na ya watu binasfi, lakini pia kuna baadhi ya watanzia wana miliki zaidi ya gari 1
 
Hivi sasa hivi yamefika kiasi gani? Nasikia 2008 hadi 2013 yameingizwa magari kama laki mbili
 
Hesabu yake ipo hivi...
1x24x24x899(ie: namba zinaanzia 111-999)
Hivyo kwa namba A pekee magari 517824 yalisajiliwa.
Kufikia C Jumla ni 1,553,472 yalisajiliwa
Namba D sasa imefikia kwenye Q( DQ..)
3(1x24x24x899)+(1x24x(24-9)x899)=1,877,112
 
fafanua umetupiga elimu nzito
 
Hesabu yake ipo hivi...
1x24x24x899(ie: namba zinaanzia 111-999)
Hivyo kwa namba A pekee magari 517824 yalisajiliwa.
Kufikia C Jumla ni 1,553,472 yalisajiliwa
Namba D sasa imefikia kwenye Q( DQ..)
3(1x24x24x899)+(1x24x(24-9)x899)=1,877,112
Kwenye haya mahesabu yako kuna Bajaj na Pikipiki kwa A na B.
 
Yaanza 101

Back
Top Bottom