icon za cd drive zinatokea nyingi wakati mi nina DVD RW moja tu...msaada

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
habari zenu wadau wa JF.
naombeni msaada wenu..mimi ninatumia windows7 na nina DVD RW(+-) moja tu lakini kwa sasa kila nikiingia kwenye "my computer" naona kuna icon inayoonyesha kuwa nina cd drives 9..ninayoweza kuitumia ni hii ambayo ninayo lakini hizo nyingine nikibonyeza computer inasema insert cd drive...cha kushangaza ni kuwa zimetokea wapi na kwanini hazitoki...?
Naombeni msaada wenu ..
nimepiga picha screen yangu sema nimejaribu kupaste hapa nikashindwa so nimeamua kuiattach kama pdf file katika ujumbe huu...natumai mtaangalie mnisaidie...
 

Attachments

  • p.pdf
    127.7 KB · Views: 44
Hizo ztakuwa virtual drives.. Haijainstall software kama power iso, ultra iso, magic disk or daemon tools katika pc yako?
 
nimeinstall power iso....sasa hebu nieleweshe..power iso inafanya vipi hiyo kitu kutokea..?/???
 
Ok ni kamba iyo power iso ina install virtual drives ambapo utaweza kumount cd images via izo virtual drives.. Angalia chini kulia kuna icon yake rite click it na chagua katika options.. Set the number of drives na weka moja au lisiwepo ata moja then ztaondoka.
 
nashukuru sana ...nimekuelewa vizurii kabisa....nafurahi kwa kuwa umenipa jambo jipya kichwani....mimi ni skillseeker
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom