VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,356
Is This Love
.
Baada ya Bwana kuona mpenzi wake upendo umepungua alighafirika na akashindwa kujizuia akatoa roho yake na ya mke wake sababu asingeweza kuishi bila ya mpenzi wake
Or is This Love
Baada ya Bwana kuona kuwa upendo wa mpenzi wake umepungua kwake basi akaamua kuhama mji ili mpenzi wake apate mwingine.., ingawa ilimuuma sana na alijua kwamba hatasahau au kupona kidonda ,bali alikuwa radhi bora mmoja wao apate furaha kuliko wote kuwa na huzuni
What do you Think on above Scenarios ?,
Is There Selfishness? Caring?, Really Love? or neither