Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,951
- 6,882
Project inanuka toka mwanzo. Hivi moto ukitokea hao machinga na wateja wao watakimbilia wapi?
Amandla........
Amandla........
What I know contractor ni Bwana Baghdad. Anaemlipa Baghdad kwa wajili ya ujenzi ni NSSF. NSSF imeikopesha City Council ya DSM kwa dhamana ya serikali. Initially gharama ilikuwa 10 bilioni. Sasa nasikia imeongezeka. Mradi huu ulibuniwa na Mayor Adam Kimbisa. Ni yeye ndiye aliemteua Zungu kuwa Mwenyekiti wa Bodi.
Kutokana na idadi ya wamachinga walioko DSM na wanaingia kila siku toka mkoani, Smart Holdings ipewe tenda au isipewe tenda lile eneo halitoshi hata. Hata wale watakaopewa nao watauza. Wale wamachinga wanaotembea barabarani hawatalitumia. Hiyo ndiyo habari yenyewe
Kuna sababu nyingi za kiushindani ila mkumbuke pia kwamba tanzania tuna upungufu wa kampuni binafsi zilizo repurtable... nitajieni mbadala basi kama wapo!! Nani Outdoor? Msama promotion?
Vilevile tujue kwamba bakuli la uchaguzi limeanza na hizi ndio routes tamu za kukusanya bila maumizu mazee, halmashauri hazina kauli kwenye baadhi ya maamuzi mengine yanatoka juu sana (ila sijui kwa hili ni vipi)
Inauma lakini ndio bongo yetu labda tupate kampuni za kigeni
Halafu huyu mzee Kingunge akiulizwa anasema si Mimi ni Kampuni ya Mama na kijana wangu... This is bullshit..!
Huu ni unyonyaji wa hali ya juu.!