MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,980
Kupata ban ni tatizo lako na kama ungefahamu kama nitakusababishia ban basi usingepoteza muda wako kukoti komenti yangu.Usije unaisababishia Ban ,kwa huu upuuzi wako
Umeainsha matukio gani? Au kingereza ni wewe peke yako unakijua ,
Yaani unahainisha kupatwa kwa jua ni sawa na kupwa na kujaa maji baharini ,halafu unaleta u much know hapa
Masuala ya kiingereza yanaingiaje hapa? Hizi ni dalili za inferiority complex!
Jaribi kupanua zaidi fikra zako na kama huwezi kupanua zaidi basi hutafahamu mantiki ya andiko langu.