I never dreamt I'd live to see the day, yet it is here...that much dreaded day is here!!

Usije unaisababishia Ban ,kwa huu upuuzi wako
Umeainsha matukio gani? Au kingereza ni wewe peke yako unakijua ,

Yaani unahainisha kupatwa kwa jua ni sawa na kupwa na kujaa maji baharini ,halafu unaleta u much know hapa
Kupata ban ni tatizo lako na kama ungefahamu kama nitakusababishia ban basi usingepoteza muda wako kukoti komenti yangu.

Masuala ya kiingereza yanaingiaje hapa? Hizi ni dalili za inferiority complex!

Jaribi kupanua zaidi fikra zako na kama huwezi kupanua zaidi basi hutafahamu mantiki ya andiko langu.
 
Kwa hiyo uandike upuuzi wa kupotosha uachwe sio ??

Hebu nisaidie sababu za hao Polisi wa Uk kuingia mtaani na silaha

Huku Polisi walisema kabisa wamejindaa vizuri kupambana na Ukuta ,

Haya matukio unalinganisha vipi ?

Kweli nitatanua fikra zangu ,ila zako zinatakiwa zizibuliwe na brick au kitu chenye ncha kali ila soft
 
Sijui una uelewa kiasi gani lakini ni ajabu unashindwa kutofautisha vitu viwili vilivyo bayana. Labda lugha ndiyo tatizo, lakini ni kwamba hao askari wa Uingereza wanafanya mazoezi na ulinzi dhidi ya magaidi ambao nia yao ni kuua raia na kulipua majengo kwenye miji mikubwa karibu Ulaya nzima. Hao ni wahalifu wanaokusudia kuvunja SHERIA ya nchi.
Vyama vya upinzani vinakusudia siyo kuvunja sheria bali KUTEKELEZA matakwa ya sheria ya vyama vyote vya siasa ambayo haijafutwa, yaani iko hai na inatumika.
Hii basi inaweka wazi kwa mwenye akili yeyote kuwa mfano wako unadhihirisha ufinyu wa fikra uliotanda kwenye bongo za wengi sasa hivi.
Wapinzani siyo wahalifu wala wavunja sheria mpaka askari wafanye mazoezi ya kijinga hadharani wakati kila kukicha uhalifu unaongezeka nchini. Watu 56 wameuawa Kagera lakini hatujaona wakienda kulinda raia kule na kutisha wahalifu.
When your mind comes round to it, you obviously see how pathetic your strand of thinking actually is.
Jeshi la Nchi zingine kama za Magharibi wakifanya kama walivyofanya Tanzania, ninaamini mtapongeza sana!

LINK
LINK

Armed police have been testing their response to a Tunisia-style gun rampage on the streets of London, as the Government warns an attack on the UK is highly likely.

Gunmen armed with automatic rifles were seen striding through the capital firing at by-standers in a simulation of an attack similar to that seen in Sousse or Mumbai in 2008.

Sky's Mark White said the exercise involved training for a scenario very similar to the attack in north Africa last Friday, in which up to 30 UK nationals are feared to have died.

Some streets around the Aldwych area of central London were closed to allow first responders to deal with a simulated attack on members of the public and emergency services.

Operation Strong Tower involved more than 1,000 officers in what the Metropolitan Police said was a "multi-agency exercise to test the emergency services' response to a marauding terrorist firearms attack in London".

The Met added that the exercise had been many months in the planning and was not a response to the events in Tunisia, or any specific intelligence of an attack in the UK.

SOURCE: BBC and SKY News.

terror.jpg

2A23414900000578-0-image-m-60_1435764678628.jpg

2A23AB7700000578-0-image-a-41_1435764497551.jpg

2A23391C00000578-3146141-image-a-67_1435764731639.jpg
strongtower4.jpg
 
Wajemeni mazoezi ya ukakamavu ni kawaida kwa majeshi yote, sisi tuliopita jeshi tunajua, na kwa kawaida kulikuwa na maeneo maalum la kufanyia mazoezi haya kama maeneo ya range, na mazoezi haya yalikuwa yakifanywa kwa siri.

Lakini kufuatia uvamizi wa maeneo hayo, sasa hakuna tena maeneo ya kutosha wingi wa askari walioongezeka maradufu, hivyo askari wamelazimika kufanyia mazoezi haya barabarani.

Na kufuatia maendeleo ya utandawazi na kitu kinachoitwa Open Government Initiatives, serikali inafanya kila kitu kwa uwazi, hakuna kitu cha kuficha sasa ni mambo yote hadharani.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakishuhudia jinsi jeshi la polisi wanavyokabiliana na wahalifu mbalimbali wakiwemo waandamanaji wa maandamano na mikutano isiyo na vibali? .

Pasco

Hakuna ubaya kabisa hasa pale polisi ndio wenye kudhibiti na kutoa vibali kwa shughuli za kisiasa. Wao pekee ndio wanaojua mazingira ya usalama na mustakabali wa nchi.
 
Yes it is here...the neo-nazis of the 21st Century are here! Who would have thought my beloved country, Tanzania, the land of Kilimanjaro and Serengeti, would be the recipient of the Gold medal..
.
Wewe hebu tokomea huko na hicho Kiingereza chako. Tarehe moja nenda kaandamane ili BBC nk. wapate cha kuripoti, tena kwa Kiingereza halisi na sio hicho chako feki.
 
Yes it is here...the neo-nazis of the 21st Century are here! Who would have thought my beloved country, Tanzania, the land of Kilimanjaro and Serengeti, would be the recipient of the Gold medal.

Tanzania, the land of Mwalimu Nyerere who never slept nor bat an eyelid until the whole of Africa was liberated, until his brothers and sisters were freed from the claws of Makaburu and Masultani!

Is this really happening in Tanzania?

maguffff.jpg

The President flanked by the Minister (left) and IGP (right)

Polisi-Tanzania.jpg

Dar es Salaam

Cqn7MQ2WcAApKMS.jpg

UPEPO.jpg

Mtwara

hqdefault.jpg

Moshi

polisi+picha.jpg

Simanjiro
unnamed+(58).jpg

Iringa

3.jpg

Mbeya

img-20160824-wa0072.jpg

Dodoma

DORIA%2BDODOMA...jpg

Ruvuma

2-33.jpg

Singida

3-31.jpg

0.1gsengo%2B%252B%2Bpolisi%2B%25287%2529.jpg

Musoma

P6300319.JPG

All this in response to UKUTA...!

tanzania-police-prepares-to-disparse-citizens.jpg

img-20160824-wa0079.jpg

1-1-1.jpg

What is UKUTA? I will be back.
Acha ushamba. .kwani si mazoezi tu hayo? Muhalifu anakimbia hata asipokimbizwa!
 
Wewe hebu tokomea huko na hicho Kiingereza chako. Tarehe moja nenda kaandamane ili BBC nk. wapate cha kuripoti, tena kwa Kiingereza halisi na sio hicho chako feki.
Polisi-Tanzania.jpg

Ready to kill or maim...is this Tanzania?

1.JPG

A writer who crossed their path is dealt with severely...is this Tanzania?

askari.jpg

Ordered to kill...is this Tanzania?

terrifying picture
(dont click if you are faint hearted)
The remains of Daud Mwangosi after tasting the wrath of the Tanzania Police.

Are members of our Police Force this blood-thirsty?
 
Jamaa wewe hazimo kabisa. Nchi inaongozwa kufuata katiba na sio Chama. Kwa hiyo kwa akili yako kila watakaoongoza serikali watakuja na sheria zao ? Nirudie tu kukufahamisha kuwa kuna tatizo la uelewa ndani yako. Kaa chini na utafakari. Kama una familia jua tu machafuko yakitokea hawatakuwa na pakukimbilia. Tuombe Mungu atuvushe salama katika kipindi hiki kigumu.

Nikifahamushe kuandamana ni moha ya root cause ya machafuko unayoyaogopa, kumbe nanyi mna hofu ya familia kutokua na pakukimbilia? Ndio maana nikasema achaneni na maandamano.
 
Uwezo wako wakufikiri ndipo ulioishia hapa..wakafanyie wapi hiyo Siasa

Kwani mmefundishwa na kukarirushwa kuwa siasa ni mikutano ya hadhara ya viongozi wenu vinginevyo no maandamano? Akili zenu zimegota hadi mnashindwa kubuni njia mbadala za kufanya siasa zisizo za kichochezi? Anyway, ndio uwezo wenu wa kufikiri ulipogotea.
 
Mkuu Nguruvi3 habari za kitambo? Naona kamanda Lowassa anazidi kuchanja mbuga kukijenga chama.
Mkuu njema, nina wasi wasi na safari ya nchi. Tunaelekea wapi?

Haya yanayoendelea yanaashiria jema kwa Taifa?

Tunaambiwa nchi inaendeshwa kwa sheria, tukiomba msaada wa kufahamishwa hatupewi

Mkuu, sheria gani ya nchi inayopiga marufuku mikutano ya siasa nchini?

Sheria hiyo imetoa mamlaka kwa nani?

Kwanini sheria inatumika nusu nusu?

Lini imeridhiwa na wawakilishi wa wananchi?
 
Hakuna ubaya kabisa hasa pale polisi ndio wenye kudhibiti na kutoa vibali kwa shughuli za kisiasa. Wao pekee ndio wanaojua mazingira ya usalama na mustakabali wa nchi.
Tufanye tumekubaliana na wewe, pamoja na Pasco. Lakini , je, ni wakati gani Polisi Tanzania waliwahi kuruhusu maandamano yaliyopangwa kufanywa na wapinzani? Kwa kuwa wao ndiyo wanaofahamu mustakabali na hali ya usalama wa nchi, na kwa kuwa kila mara hukataa kutoa vibali kwa sababu za kiintelijensia kuonyesha hali si shwari, sasa, kwa nini Tanzania iitwe nchi ya amani na utulivu, (kisiwa cha amani) wakati si shwari kwa matokeo ya intelijensia?
 
Mkuu njema, nina wasi wasi na safari ya nchi. Tunaelekea wapi?

Haya yanayoendelea yanaashiria jema kwa Taifa?

Tunaambiwa nchi inaendeshwa kwa sheria, tukiomba msaada wa kufahamishwa hatupewi

Mkuu, sheria gani ya nchi inayopiga marufuku mikutano ya siasa nchini?

Sheria hiyo imetoa mamlaka kwa nani?

Kwanini sheria inatumika nusu nusu?

Lini imeridhiwa na wawakilishi wa wananchi?
Cha kushangaza zaidi, sheria inasema polisi wanapewa "taarifa" ili kushirikiana na waandamanaji au wafanya mkutano ili waweze kufanya "kazi yao ya kulinda amani kwenye mkusanyiko halali". Lakini wao tenà ndiyo wanatoa kibali kwa mtoa taarifa. Huu ni mkanganyiko uliowekwa makusudi kabisa ili watawala wanapozuia wengine kufanya siasa ionekane ni polisi
 
Mkuu njema, nina wasi wasi na safari ya nchi. Tunaelekea wapi?

Haya yanayoendelea yanaashiria jema kwa Taifa?

Tunaambiwa nchi inaendeshwa kwa sheria, tukiomba msaada wa kufahamishwa hatupewi

Mkuu, sheria gani ya nchi inayopiga marufuku mikutano ya siasa nchini?

Sheria hiyo imetoa mamlaka kwa nani?

Kwanini sheria inatumika nusu nusu?

Lini imeridhiwa na wawakilishi wa wananchi?

Mkuu upo sahihi kabisa kuhusu kufata utaratibu, lakini vipi kwenye chama chetu chadema? Maana hivi vitu vinaanzia kwenye vyama.. Naona ata mgombea wetu wa 2020 ameshajipitisha bila kufata sheria na taratibu za chama. Ni la kunyamazia hili kweli?
 
Wajemeni mazoezi ya ukakamavu ni kawaida kwa majeshi yote, sisi tuliopita jeshi tunajua, na kwa kawaida kulikuwa na maeneo maalum la kufanyia mazoezi haya kama maeneo ya range, na mazoezi haya yalikuwa yakifanywa kwa siri.

Lakini kufuatia uvamizi wa maeneo hayo, sasa hakuna tena maeneo ya kutosha wingi wa askari walioongezeka maradufu, hivyo askari wamelazimika kufanyia mazoezi haya barabarani.

Na kufuatia maendeleo ya utandawazi na kitu kinachoitwa Open Government Initiatives, serikali inafanya kila kitu kwa uwazi, hakuna kitu cha kuficha sasa ni mambo yote hadharani.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakishuhudia jinsi jeshi la polisi wanavyokabiliana na wahalifu mbalimbali wakiwemo waandamanaji wa maandamano na mikutano isiyo na vibali? .

Pasco

My friend Pasco are you in any way old enough to remember these pictures?

apartheid-violence.jpg

06db67dc500c7c89783c17ece9e59200.jpg
publicity-pic-2-behind-the-lens.jpg

19600321-SouthAfricaSharpevilleMassacre-ANCArchives-crop2.jpg

w430.68de7.jpg
1-Apartheid1_943241427360.jpg

turn-to-violence-new.jpg

slide_346876_3660905_free.jpg

Well this is what our father of the nation, Mwalimu lived, supported and fought for...freedom from tyranny and oppression for our brothers in South Africa. The pictures we see in the streets of Dar es Salaam right now are no different from the ones shown above. In spite of the terror unleashed by apartheid police, the people finally won...it is just a matter of time.

Like all dicteta uchwaras before him, Magufuli is bound to fail...
 
Je, miongoni mwa mbinu za kutunza siri ni kusema uwongo? waliosema uongo ni mbaya tunadhani walikosea? kwa yeyote mwenye mamlaka uwongo ni sehemu muhimu katika kutawala watu wake.
wazazi wengi huwadanganya watoto nao hukua na ujuzi huo.
Nilienda kukopa benki mwezi sasa umepita kila nikienda naambiwa cheki kesho naenda tena na tena naambiwa the same. Kumbe wengi wameambiwa hivo. hata kama kuna jambo tunakubali tunaloambiwa. usitake ukweli kila wakati baki nao kichwani tu.
Tunaona mazoezi kila mahali tunaambiwa jambo la kawaida ni lazima tujue hivo hata kama tunahisi tofauti.
Ndoa zinafungwa kwa wenye ujauzito japo mkubwa tu wakati tuliambiwa ni kosa lakini wote hatusemi neno. tunatunza siri kwa kuficha ukweli.
hata ukishiriki katika kosa akaja mkuu wako ukaona waziwazi anaficha jambo utashangilia tu. Baba akijamb hupaswi kusema hovyo wala kucheka unatunza siri.
Kutokana na hali hii mimi siamini katika kuiombea mamlaka ya dunia hii ila kuitii peke yake!
Ni lazima nitii mamlaka tangu pale nyumbani. kutokuitii mamlaka si kuivunja nchi?
 
Back
Top Bottom