Sidhani Kama maandamano yanaleta vurugu. Vurugu zinatokea Kama utazuia maandamano hivyo kama uko sawa kichwani utaelewa kuwa watakaoleta vurugu sio waandamanaji Bali wanaozuia. Acheni watu waandamane kwani ni haki Yao. That's the only way to maintain peace. Nawasihi viongozi wa serikali waache wananchi waandamane na kufanya mikutano kwani ni haki Yao. Mimi sio mwanachama wa Chama chochote ila ni mtanzania. Ni vema CCM wakajua kuwa nchi yetu sasa wengi ni vijana waliozaliwa baada ya 1977. Hivyo kwao CCM haina umaarufu Kama vyama vipya na ndio maana the fall of CCM IS IMMINENT hata watumie jeshi. Ni vema wakalijua hili kwani huu mgogoro hawatakuwa washindi. Time will tell. Mungu ibariki Tanzania.Nikifahamushe kuandamana ni moha ya root cause ya machafuko unayoyaogopa, kumbe nanyi mna hofu ya familia kutokua na pakukimbilia? Ndio maana nikasema achaneni na maandamano.